Vijana mmetengwa na jamii ila JF haijawatenga.

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,352
Heri ya muendelezo wa mfungo wa Ramadan ndugu Waislamu!

'I'll be short and clear'

1. Mawaidha kama mzee kwa vijana!
akati nikiwa kijana wa miaka 24 hivi baada tu ya kumaliza chuo, nilikuwa natamani kuingia kwenye uchumba ambao ungepelekea ndoa kabisa.

Wasichana wengi walinikataa na kusema mimi bado mtoto, ilhali wazazi wao walinikubali. Nilijua hivyo mwanzoni ila baada ya kuzishika hela nikajua kumbe walinikataa kwa sababu sikuwa na 'ngawila'.

Jamii ilitutenga mno na ukizingatia tulikuwa 'majobless' kwa wakati huo, basi ilikuwa tafrani.

'Slay queens' wengi walinikataa na kuniita mshamba, kipindi hicho nilikuwa sijui kuvaa ila ni 'handsome'.

Niliwekeza nguvu kiasi kupambana kutafuta hela(usi panic kwenye kupambana kutoboa, hutotoboa, fanya kama hutaki(ordinarily)) na nikatoboa katika umri mdogo tu.

Sasa nikaanza kupokea simu mpaka kutoka kwa namba zingine ambazo sikuzifahamu. Baadhi ya akina dada wakiomba tukutane.

Kwa kuwa wengine nikiwafahamu niliwauliza "ila mimi si ni mtoto na sijui kuvaa lakini?", walijibu kwa sasa nimekua na nimekuwa 'handsome' zaidi.

Nilikuwa nawajibu 'shit' sikutaka hata bure papuchi zao. Walianza kunichukia na kusambaza mbovu 'but' sikujali. Wakati huo niliwathamini wazazi, hela yangu, na ndugu zangu tu. Niliwaweka kipaumbele.

Nikagundua kumbe kilichokuwa kikubwa siyo mimi bali ni hela yangu, kilichokuwa kinawapigisha simu na kuomba mitoko ni hela yangu. Nilikwepa mtego huu, nilikuwa bahili kiasi chake.

Sasa, vijana najua mnayopitia kwa sasa. JF haijawatenga hata kama jamii na wasichana wamekuwa wakiwataa kwa kuwa hamna kitu mifukoni.
Wengi wenu bado hamjapata kazi na mnajitafuta. Sote tulipita huko, pambaneni.

Wengine umri wa kuoa umefika ila bado mpo hamjaoa, mkitazama kesho zenu mnaona giza tu, ramani hazisomi, wengine mnaishi Dar ila kodi zinakaribia kwisha na hamna 'back up', nyumbani kwa wazazi ndiyo vile tena hali duni. Hakuna sapoti na wote wanakuangalia wewe. Pambana, fanya kama umejitenga na dunia kwa muda

Kaza moyo pambana. Wanekukataa kwa kejeli na masimango na dhihaka. Ulionekana katuni mbele yake na mbele ya rafiki zake. Kaza moyo, usiwachukie, hasira zihamishie kwenye ku fight upate pesa(pesa ni mamlaka).

Hata kama ni kufa na ufe, umri huo ndiyo wa kutafuta pesa 'then' tukutane uzeeni kwenye fainali. Kwa kuwa umekataliwa na wachumba wengi na hujapata wa kumuoa mpaka sasa, achana nao, bado kijana? pambana tengeneza hela.

Ukitoboa wakijileta usile papuchi hata kama ni bure. Tafadhali usile. Kata mazoea nao na uwasahau kabisa. Ukijifanya Mr Romantic usije kulia lia hapa JF.!

2. Ushauri kama kijana muhuni 'at my 30's'

Kwenye umri wangu huo naweza kusema nilikuwa na ukatili fulani, najutia mno. Wengi walionikataa na kuniita mtoto au mshamba nk na wakajileta, sikuwa na kitu kinaitwa msamaha, niliamini wa kusamehe si mimi ni aliye juu.

Nilikuwa nawakubali na kuwala, 07... 'then dumped them'. Nishachafua sana shuka za 'lodges' na 'guests'.

Hii naijutia mno. Nilijua walitaka pesa sasa kwa nini ninyime? Nilitoa ila kwa masharti makali sana.

Sikutaka kuwafanyia haya watoto wa masikini, niliwafanyia 'washua' ambao ndiyo walinidharau. Nilifanikiwa kuuridhisha moyo wangu ila najuta mno nikikumbuka.

Ukipenda kuchukua ushauri huu, unaweza kufanya kama mimi ila sikushauri. Ukifanya, fanya 'at your own risk'. Ni dhambi kubwa mno.

Wachumba wamekutenga na kukukejeli, ukizishika unaweza kuwalawiti hata kwa 'pen' ukiwiwa, ingawa sikushauri. Ni ukatili.

Vijana endeleeni kupambana msikate tamaa. Umri huu ndiyo wa mapambano.

NB: lengo la uzi ni kuwapa hamasa vijana ya kupambana na kutoka kwenye msongo wa mawazo uliosababishwa na kutengwa na kukataliwa na wachumba/wanawake kwa sababu ya vipato duni/umasikini.
Maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, au si rasmi.

Mnaweza kuniiga kwa mazuri, na kuyaacha mabaya yangu.

Umasikini mbaya sana.!
 
"Pambana, fanya kama umejitenga na dunia kwa muda" muhimu sana hii.

Kuna mahala umesahau kuandika 1

Tangu nikujue we dingi, leo ndio umeongea vitu vya maana. Achana na yale mambo ya "matako" na "ngono"

Umenikumbusha, juzi kati kuna binti nimemtokea. Lahaulaah!, nikashushiwa gazeti nikiambiwa, "kama utaweza kunihudumia karibu" niliiwaza sana ile kauli kidogo inipe msogo.
 
Kijana kwa hiyo ukala spana[emoji23]
 
Heri ya muendelezo wa mfungo wa Ramadan ndugu Waislamu!

'I'll be short and clear'

1. Mawaidha kama mzee kwa vijana!
akati nikiwa kijana wa miaka 24 hivi baada tu ya kumaliza chuo, nilikuwa natamani kuingia kwenye uchumba ambao ungepelekea ndoa kabisa.

Wasichana wengi walinikataa na kusema mimi bado mtoto, ilhali wazazi wao walinikubali. Nilijua hivyo mwanzoni ila baada ya kuzishika hela nikajua kumbe walinikataa kwa sababu sikuwa na 'ngawila'.

Jamii ilitutenga mno na ukizingatia tulikuwa 'majobless' kwa wakati huo, basi ilikuwa tafrani.

'Slay queens' wengi walinikataa na kuniita mshamba, kipindi hicho nilikuwa sijui kuvaa ila ni 'handsome'.

Niliwekeza nguvu kiasi kupambana kutafuta hela(usi panic kwenye kupambana kutoboa, hutotoboa, fanya kama hutaki(ordinarily)) na nikatoboa katika umri mdogo tu.

Sasa nikaanza kupokea simu mpaka kutoka kwa namba zingine ambazo sikuzifahamu. Baadhi ya akina dada wakiomba tukutane.

Kwa kuwa wengine nikiwafahamu niliwauliza "ila mimi si ni mtoto na sijui kuvaa lakini?", walijibu kwa sasa nimekua na nimekuwa 'handsome' zaidi.

Nilikuwa nawajibu 'shit' sikutaka hata bure papuchi zao. Walianza kunichukia na kusambaza mbovu 'but' sikujali. Wakati huo niliwathamini wazazi, hela yangu, na ndugu zangu tu. Niliwaweka kipaumbele.

Nikagundua kumbe kilichokuwa kikubwa siyo mimi bali ni hela yangu, kilichokuwa kinawapigisha simu na kuomba mitoko ni hela yangu. Nilikwepa mtego huu, nilikuwa bahili kiasi chake.

Sasa, vijana najua mnayopitia kwa sasa. JF haijawatenga hata kama jamii na wasichana wamekuwa wakiwataa kwa kuwa hamna kitu mifukoni.
Wengi wenu bado hamjapata kazi na mnajitafuta. Sote tulipita huko, pambaneni.

Wengine umri wa kuoa umefika ila bado mpo hamjaoa, mkitazama kesho zenu mnaona giza tu, ramani hazisomi, wengine mnaishi Dar ila kodi zinakaribia kwisha na hamna 'back up', nyumbani kwa wazazi ndiyo vile tena hali duni. Hakuna sapoti na wote wanakuangalia wewe. Pambana, fanya kama umejitenga na dunia kwa muda

Kaza moyo pambana. Wanekukataa kwa kejeli na masimango na dhihaka. Ulionekana katuni mbele yake na mbele ya rafiki zake. Kaza moyo, usiwachukie, hasira zihamishie kwenye ku fight upate pesa(pesa ni mamlaka).

Hata kama ni kufa na ufe, umri huo ndiyo wa kutafuta pesa 'then' tukutane uzeeni kwenye fainali. Kwa kuwa umekataliwa na wachumba wengi na hujapata wa kumuoa mpaka sasa, achana nao, bado kijana? pambana tengeneza hela.

Ukitoboa wakijileta usile papuchi hata kama ni bure. Tafadhali usile. Kata mazoea nao na uwasahau kabisa. Ukijifanya Mr Romantic usije kulia lia hapa JF.!

2. Ushauri kama kijana muhuni 'at my 30's'

Kwenye umri wangu huo naweza kusema nilikuwa na ukatili fulani, najutia mno. Wengi walionikataa na kuniita mtoto au mshamba nk na wakajileta, sikuwa na kitu kinaitwa msamaha, niliamini wa kusamehe si mimi ni aliye juu.

Nilikuwa nawakubali na kuwala, 07... 'then dumped them'. Nishachafua sana shuka za 'lodges' na 'guests'.

Hii naijutia mno. Nilijua walitaka pesa sasa kwa nini ninyime? Nilitoa ila kwa masharti makali sana.

Sikutaka kuwafanyia haya watoto wa masikini, niliwafanyia 'washua' ambao ndiyo walinidharau. Nilifanikiwa kuuridhisha moyo wangu ila najuta mno nikikumbuka.

Ukipenda kuchukua ushauri huu, unaweza kufanya kama mimi ila sikushauri. Ukifanya, fanya 'at your own risk'. Ni dhambi kubwa mno.

Wachumba wamekutenga na kukukejeli, ukizishika unaweza kuwalawiti hata kwa 'pen' ukiwiwa, ingawa sikushauri. Ni ukatili.

Vijana endeleeni kupambana msikate tamaa. Umri huu ndiyo wa mapambano.

NB: lengo la uzi ni kuwapa hamasa vijana ya kupambana na kutoka kwenye msongo wa mawazo uliosababishwa na kutengwa na kukataliwa na wachumba/wanawake kwa sababu ya vipato duni/umasikini.
Maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, au si rasmi.

Mnaweza kuniiga kwa mazuri, na kuyaacha mabaya yangu.

Umasikini mbaya sana.!
Rich till I die
 
Ndiyo sababu ya kuchukua Sheria mkononi na kupoteza urijali baadaye,"aisifiaye mvua imemnyea"
 
Umenena kweli kbsa mkuu, nakazia ujumbe wako vijana tupambane sana
 
Back
Top Bottom