Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Hahaaaaa acha fix bos nyie watu wa kilimanjaro ndio zenu.
Cc. Miss chaga
Hahahahahhh siyo fix Mkuu.
Si unajua watu wa kaskazini tulivyoenda hewani na ni majayanti kinouma nouma.

Cc. Miss chaga
 
Kwani kitu gani watunuku wote then aliye mashuhuri muachie akanyage mafuta mpaka mwisho wa reli..
 
Baba anapesa na ni good looking kuliko mtoto.
Kila siku ninyi wanawake mnalia kwenye mitandao sisi wanaume hatueleweki, kumbe tamaa zenu zinawaponza na kuwapeleka shimoni.

Je? unajua chanzo cha kifo cha huyo mkwe wako {mke wa mdingi}
Je? unajua maumivu atakayoyapata mwanaume mwenzangu ukisha timiza hizo tamaa zako kwa mshua wetu?
 
Hivi kweli na mnamshauri mwenzenu amchukue baba mtu kweliii haha haya
Ninacho waza ni pale mdingi amefika 70-75 unaanza kuchua mgongo na mafuta ya karafuu, wiki hajakugusa na kijana wake amekuja kusalimu.
 
Back
Top Bottom