Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Wacha Bendera ifuate upepo, sijashangaa kwa girl kufall kwa mbaba hivyo do yo thing
 
Uwe unawapa wote maana kila mtu anautundu wake. Sioni sababu yoyote ya kuwabania hao makamanda!
 
Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.

Kwahiyo ndiyo kusema kuwa hata hapo ulipo sasa hivi umeshajipizia kabla hata huyo Baba hajakubandua na Mkuyenge wake?
 
Kesho kutwa ukikutana na rafiki ya baba wa huyo rafiki yako na kum-perceive kuwa ni more good-looking zaidi ya huyo mzee basi utataka kuhama tena.

Kuwa mtulivu na huyo mtoto. Kama mtoto ni wa baba basi ubaba humo ndani ya mtoto.
Du asante mkuu, lakini bado ninapigana na nafsi hapa.
 
Kwahiyo ndiyo kusema kuwa hata hapo ulipo sasa hivi umeshajipizia kabla hata huyo Baba hajakubandua na Mkuyenge wake?
Mkuu nitakuletea taarifa kwa sasa niko njia ya panda sielewi nipite kulia au kushoto. Ninadhani nitawapoteze wote iwe rahisi kwangu pia.
 
Back
Top Bottom