Nimempenda baba yake zaidi

Nimempenda baba yake zaidi

Kula kuku na mayai yake lakini unajua pesa imelala wapi.

Habari za J5 wapendwa

Huyu kijana tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wiki iliyopita alinikaribisha nyumbani kwao nikamuone baba yake. Nimefika nyumbani baba alituandalia vizuri sana, baba anaishi peke yake na chakula aliomba kipikwe na caterer. Nimevutiwa Zaidi na ucheshi wa baba kuliko huyu rafiki yangu sasa jinsi ya kuswitch hapa ni shughuli.

Huyu rafiki yangu alizaliwa wakati baba yake akiwa mwanafunzi, na baba aliendelea na shule mtoto akiwa kwa mama yake. Miaka mingi ilipita mpaka baba kumaliza elimu, mama alishaolewa hivyo rafiki yangu alikuja kulelewa na baba akiwa teenager, baba alikuja kuoa lakini mke alishatangulia mbele za haki. Baba na mtoto wamepishana umri kama miaka 20 hivi, na baba ni wa kileo kiaina sasa hapa niko njia ya panda, kuwapotezea wote maana yake huyu rafiki yangu hatanielewa akisikia niko na mdingi wake.

Huyu rafiki hatujafikia kula tunda la katikati, lakini kwa mzee nimeishiwa kabisa. Ushauri jamani.
 
Moyo naona umemdondokea baba, kuwa tu na baba.
Wewe baba anakwenda gym yuko vizuri, pia maongezi yake yanavutia sasa hapa ninatamani kumwambia tukamsalimie tena baba yako, lakini atashtuka sipendi kwenda kwake iweje nipende kwenda kwa mdingi?
 
You can not kill butterfly with panga, if you can not learn it is movement " matunda mwngine yana rangi nzuri na ya kuvutia lakini ni sumu tafakari
 
Back
Top Bottom