Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Kwanza unarudi lini huko kwenu Kenya? Unafikiri ulikua unatmb kichuguu? Hiyo imeliwa na ukimwambia mumewe unakamatwa ugoni tena shukru asiwe mpare.
 
Mleta mada na lafudhi yako ya kikenya hapo ndio ushaliwa...

Chezea dada zangu wa kibongo....ujanja mwingiiii umeuziwa papuchi kwa laki 3 bao moja.....

Heri sie huwa tunanunua elfu 2 kimboka na sewa buguruniii...ukitaka anasa unapata huduma hiyohiyo kwa sh buku 10 hapo ambiance au sikuhizi kangaroo sinzaaa.

Kama wewe ni kidume kweli...mwambie mmewe uone kitachojiri...kama nakuona umelazwa muhimbili unasubiria mashine ya ct-scan ipone upatiwe vipimo....lazma akupasue ubongo mpaka uti wa mgongo.
 
Haya mambo ya uzinzi yanaelekea kusikojuĺikana, mimba ya miezi 7 siyo yako wewe unaenda naniliu bila woga! Kwanza mlivaa condom? Inashangaza sana
 
Wewe mtu akikufunulia mapaja alafu unamdai wakati wenzako ofisini bahati ikitokea amekaa vibaya kuna wanaume karibu akigundua tu ataonekaneka anajiweka vizuri lakini wewe umeachiwa mpaka ukagusanisha viungo vyako vya uzazi kwake alafu unadai kilo sita, mwanamke kama umempitia akikukopa ela maana yake amekuomba baada ya kukuona mgumu hukati ela hivyo inabidi ujipime mwenyewe vinginevyo usingempa
 
Ha hah ahaha,, shetan anawapitia nyie tu
Shetani huwa anasingiziwa alafu hajamalizia kumdinya bila silaha za maangamizi aka soksi maana kila kitu kilikuwa dharula na mpaka matumizi ya vifaa hivyo navyo ilikuwa ni dharula
 
Ahaaa....wee upo dunia ipi, 99% ya wanawake wenye michepuko huendelea kuchepuka hata wakiwa na ujauzito. Wanaume tuna siri nyingi sana ni vile Mungu katupa vifua pia.

Kama ni kweli inasikitisha sana,tatizo ni nini??
 
Halafu ndingi mwana nzeki alipokuwa anasubiriwa n mume wake, iliwachukua muda gani kumaliza kumtia? Bado nashangaa na kujiuliza maswali mengi mno.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mume wake unamdai hiyo 600,000 hivyo akusaidie ili uweze kulipwa hela yako na huko kahaba, akiamua ajiharibie mwenyewe kwa mumewe kuwa ameshakupa tunda

WALLAH AFANYIE KAZI HUU USHAURI....mengine mbwembwe @ndingi mwana nzeki
 
Wewe nikikufahamu utanieleza aliye weka chumvi baharini ni nani. Yaani unamgegeda dada yetu alafu unadai pesa. Walah nakutatua marinda. Bora tu upotezee
 
Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Alafu nyie si waandishi wa habari ngoja kesho namleta mumewe hapo
 
Nimeunganisha dots,nimeishapata jibu.
naomba msiendelee kuiraani office yetu
kwa kuendekeza uzinzi ofisini
isije ikapata laana ikafungwa wenzenu
tukakosa ajira,bado tunahitaji ajira kwa maendeleo yetu na familia zetu.
asante kwa kunielewa.

hii kama BC Mbona
 
1. Inaonekana ulishamtamani siku nyingi na yeye alilijua hilo.
2. Ulipomkopesha alijua njia rahisi ni kukupa penzi utatulia tu, lakini alikuwa na Plan B, kwamba ukimdai anakuwekea uso wa faru!!!!
3. Huwezi kupiga kelele tena sababu ulishalamba penzi mara mbili, na nahisi ulicharaza kavu!!!
Jambo la msingi kuwa mpole uendelee kuchapa angalau mara mbilitatu, labda unaweza kufidia deni!!! Japo ni Impossible!!!
 
Back
Top Bottom