Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Huyo mwanamke hana akili/mpumbavu kabisa ana mimba halafu anagawa nje hawa ndio wanasababisha vitoto vingine vikizaliwa vinakuja kuwa vishoga

Yani umetype kwa hisia kali.
Pole sana.
 
Huyu mkenya hana maadili, na mwanamke wake wote wazinzi.
 
Azabu yako upigwe mawe mpaka ufe,,unalalaje na mke wa mtu tena anamimba?
 
Inatia uchungu sana....yaani unamsubiri wife kwenye parking, huko juu kuna mtu anakandamiza!!! Halafu akiingia kwenye gari 'hello honey' na kiss juu!
Ulivyoongea kwa uchungu sasa daah
 
Umenikumbusha kisa changu kipindi nipo udsm kuna mbwa aliwahi nifanyia huo mchezo ila kirahisi rahisi tu akataka nizima pesa yangu, hatokuja nisahau maisha yake yote mana alinipa pesa kwa ambush moja ya hatari yeye alidhan mi ntaogopa mdai kisa alinizawadia penzi ha ha ha kidume nilikaza pesa akatoa na uadui ukaanza siku ile mpka kesho

ulizawadiwa penzi na mbwa!!?
 
Ndoooorooo......kweli yaani umle alafu umdai? Sahau haha haha ahaaaa
 
Huyo mwanamke hana akili/mpumbavu kabisa ana mimba halafu anagawa nje hawa ndio wanasababisha vitoto vingine vikizaliwa vinakuja kuwa vishoga

😂😂😂😂😂😂😂
 
sema umemuazima pesa na sio kwamba umemkopesha!
 
Hongera kwa kuwa na ajira, pole kwa kuingia mzima mzima kwa wanawake wa mjini...

''Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother''
Sioni tatizo kwa kilichotokea kati yako na workmate, tatizo ni hii hali ya ku-pretend kwamba ilikuwa accident.
Jambo la pili, unafanya uzinzi ofisini?! Vijana mmefikaje huku?

''Kulala nae only two times ndio laki sita?''

Hapa unafanya kosa lingine kwa dhana kwamba ungefanya naye mara nyingi basi ingehalalisha yeye kutokukulipa hiyo laki sita.
 
Mmu huwa inanikosha sana hasa thread zake tamu kama hii siyo siri kaka umenifurahisha sana kwa uzi wako huu ila usilalamike sana mkuu hayo mambo yapo tu we potezea tu maana hata ww umepata utamu bhana acha kulalamika sana kaka, watu wanahonga mpaka magorofa na mavx ww kalaki sita tu mkuu unalalama utazani kiuno hukutingisha baba khaaaa!
 
i hope you have learnt a lesson here.It is one of the way ladies use to repay their loans
 
You are a fool, having sex with seven months woman to make it worse not your wife, just a work mate.
You were traped , don't blame her or your self just take it easy its gone buddy.hesabu kama vile umehonga mkuu
 
Mwambie kila bao moja buku......uwe unagonga huku unafanya reducing balance ya buku buku hadi hela yako iishe...
 
Back
Top Bottom