Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Kaka nkuambie kitu...mbona hiyo simple madam amekuonesha dharau na wewe ulimsaidia kwa wema, although kulala nae nasema it was wrong move ...ila all in all mpe adhabu hii...tafuta siku moja tuuuu vizia sku amekuja kuchukuliwa na mume wake asikuone ...then akifika kwenye gar mkimbilie mwambie jambo lolote tu la kiofisi labda mafail ama nini huku ukijua jibu la swal unalomuliza ...then msalmie mume wake mchangamkie kidizaini sio sana halaf aga sepa zako...then next day kaaa kimyaaaa and siku zinazokuja kaaa kimyaa najua lak 6 inauma but mwadhibu kwaanza huku ukitafuta namna ya kuipata hio laki6 ila usimsemesha nini wala nini..then kua kawaida Cheka na wengine hapo ofisini ...kama kuna watoto wengine hapo ofisin onesha ukaribu sana nao na make sure anaona !!! Yan onesha charming attitude kwao ...akitokea bibie labda mlikua mnaongea sepa just onesha body language kua you don't want to get near her..halaf piga kimyaa au akiuongelesha kaa kimya au mjibu mkato tu huku unaendelea kufanya shuhul zako...
Bro asipokurudishia hela yako dash..uje PM nkupe plan B
 
Kwanza uyu si mtanzania, then anakamua shemeji yetu, then analeta dharau hapa, naomba tumtafute kwa udi na uvumba mpaka tumtemeshe mzigo, najua hapa kuna uhamiaji wa kutosha. Bwe.ge kabisa uyu jombaa
 
nyie wote wawili, wewe mtoa mada na mjamzito mwenzio, ni wasengese
 
hahahah nimegundu ww ni mkenya jst a piece of advice wanawake wa Tanzania are too smart so uwe makin,,,alaf dd u f....ck her while she is preg?,,,if so we ni mboya hahahah
 
Mmmhhh huyu shetani ana kazi kweli, yaani anawapitia mkiwa qawili tu, mm nakushauri hivi, mme wake atakapokuja kum-pick mwite shetani naye aje awapitie wote watatu!
 
Tena anagongwa(sijui kama ile line ndogo ilisalimika)
huku mume wake yupo
hapo nje anamsubilia, uchafu wa namna gani huo.,..?
yaani nimechefukwa, natamani tena hiyo hela
asikupe kabisa kwani umefanya ufedhuri mkubwa.

Pia enyi wanawake , kwanini mnatutenda namna hiyo waume zenu..??
.

Jamaniii usiumie roho sana nauhakika mkeo hafanyi hivyo
 
Umeshalipwa bado unataka nini
Unataka umwambie boss au mumewe ili iweje, waambie pia umeshamduu..... uone kama utabaki na hicho kibarua
 
duh imemgonga mara 2 kakuliza laki sita ina maana kila pambano laki 3 kudadadeki kakuuzia mbunye kwa bei gari sana aiseee utadhani umemgonya Rihanna ha ha ha
 
Duuh hukujua kama mwenzako mjasiliamali?mbn watu hamthamin biashara za watu mbn umeuziwa bei poa tuu,hebu muwe mnaheshimu watu wanapotumia natural resources zao kujipatia kipato na mjifunze kuacha dharau
 
Back
Top Bottom