Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

Nimeunganisha dots,nimeishapata jibu.
naomba msiendelee kuiraani office yetu
kwa kuendekeza uzinzi ofisini
isije ikapata laana ikafungwa wenzenu
tukakosa ajira,bado tunahitaji ajira kwa maendeleo yetu na familia zetu.
asante kwa kunielewa.
mkuu JT2014, we ndo yule dereva nini aliyewapeleka field? Hahaha, just curious ila jamaa ameweka details nyingi sana ni rahisi kudadavua.

Anyway ndingi mwana nzeki, hayo ndo malipo ya uzinzi uliyoufanya. Forget about the money (+ somebody's wife) and carry on with your life.
 
Last edited by a moderator:
Duh mimba ya miezi 7 na bado kuchepeka kwa kwenda mbele, kwa nini hua mnaolewa na wakati ujana bado mnaupenda?

Yaani hata mie nimeshindwa kushangaa,una mimba bado unachepuka???huyu mwanamke ni bedui
 
Duh mimba ya miezi 7 na bado kuchepeka kwa kwenda mbele, kwa nini hua mnaolewa na wakati ujana bado mnaupenda?

Yaani hata mie nimeshindwa kushangaa,una mimba na bado unachepuka??huyu mwanamke ni bedui
 
najiuliza tuuu huyo ni mwanamke au kabinti? mwanamke mwenye ujauzito wa mwanaume mwingine anadiriki kufanya ivo??????????? ptuuuuuuuu
 
Tena anagongwa(sijui kama ile line ndogo ilisalimika)
huku mume wake yupo
hapo nje anamsubilia, uchafu wa namna gani huo.,..?
yaani nimechefukwa, natamani tena hiyo hela
asikupe kabisa kwani umefanya ufedhuri mkubwa.

Pia enyi wanawake , kwanini mnatutenda namna hiyo waume zenu..??
.

Yaani ni uchafu wa kupitiliza,unatudhalilisha wanawake wenzio..
 
Yaani hata mie nimeshindwa kushangaa,una mimba na bado unachepuka??huyu mwanamke ni bedui

Ahaaa....wee upo dunia ipi, 99% ya wanawake wenye michepuko huendelea kuchepuka hata wakiwa na ujauzito. Wanaume tuna siri nyingi sana ni vile Mungu katupa vifua pia.
 
Mpenzi hakopeshwi! Ulifanya kosa sana kumkula. Nakushauri potezea maana ulishaharibu lakini usirudie tena. Nadhani umepata fundisho. Then nenda kwa Mungu uombe msamaha ili uondolewe laana hii.
 
Kazi ndogo sana hiyo mshtaki kwa mumewe kwamba ulimkopesha pesa hataki kurudisha baada ya kumlamba mara mbili.
 
Nayeye amepitiwa na shetani bro. mvumilie tu.
Hupaswi kumshtaki kokote cause hzo issue ni siri yenu.

Goma gumu sana hili kulisema. Ila ukiamua kuongea ndo utakapokuwa huru.
Ishu ni ..... anaanzaje kuongelea hilo tatizo linalomkabili?
Daaaah
Duniani kuna mitihani ..........
 
Mkuu,
Umesahau kuwa it takes two to tangle...........

Tena anagongwa(sijui kama ile line ndogo ilisalimika)
huku mume wake yupo
hapo nje anamsubilia, uchafu wa namna gani huo.,..?
yaani nimechefukwa, natamani tena hiyo hela
asikupe kabisa kwani umefanya ufedhuri mkubwa.

Pia enyi wanawake , kwanini mnatutenda namna hiyo waume zenu..??
.
 
nahisi huyu dada atakuwa ana matatizo ya kupenda ngono kwa kasi ya mwanga. Kama anaweza kugawa gemu huku mmewe anamsubiri parking lot, daaaaah. Hatari
 
ok kwanza kanunue kisu kanunue shoka kanunue panga.kanunue mkuki...akija jamaa kumchukua mke wake...muombe samahan unataka kuongea nae akikubali muambie...nimenunua mkukk nimenunua shoka nimenunua kisu nimenunua panga..halafu mwambie ninetembea na mke wako...hv vitu ni hyar yako ktk kutoa hukum juu yangu kwa hili kosa nililofanya...baada ya hapo mwambie unamdai laki sita....
 
Yaani ni uchafu wa kupitiliza,unatudhalilisha wanawake wenzio..

Nimefanya tathmini fupi nikaona inawezekana huyu dada alikuwa ana shida sana ya hiyo hela au alishapewaga na mmewe akaharibu mahesabu sasa akawa anatafuta jinsi ya kuirudisha akaona akope. Akawa smart katika kurudisha hiyo hela ila sasa hajui kama ashajiweka vulnerable kwenye ndoa yake. Anadhani anamkomoa huyu jamaa kumbe sasa ndo ameweka chungu chake jikoni.
 
Back
Top Bottom