Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

kweli mkuu, unajua kuna watu hawajui kuficha
some potential identities katika nyuzi zao
yaani hapo kwa mtu anayeijua hiyo taasisi tayari
ashamjua fika kwani ukiunganisha dots kiinteligensia
unapata kuijua taasisi husika.

sasa hapo cha kufanya , mkuu@JT2014 print kabisa huu
uzi kisha ubandike japo masaa kadhaa tu kwenye mbao za
matangazo hapo ofisini kwenu , uone kama hujaja kuombwa poo
au nawewe kutaka kupewa mchezo ili uya malize kimya kimya.
Amekusoma nadhani aombe samahani humu humu,
kabla sijaufanyia kazi ushauri wako.
 
Ulifanya mistake kubwa mkuu,kufall in love seriously then na kuDO nae ilihali tayari ni mdaiwa wako tena wa hela kubwa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
 
Nimeunganisha dots,nimeishapata jibu.
naomba msiendelee kuiraani office yetu
kwa kuendekeza uzinzi ofisini
isije ikapata laana ikafungwa wenzenu
tukakosa ajira,bado tunahitaji ajira kwa maendeleo yetu na familia zetu.
asante kwa kunielewa.

Umeona sasa. Maelezo ya hii post yako too detailed. Yaani rahisi sana mtu anayefanya kazi hapo kugundua. Maana Kiswahili ni cha Kikenya, Ofisi ilifungwa kupisha uchaguzi, na tarehe zimewekwa. Na mwanamke wako nae department moja, kaolewa na ana mimba ya miezi 7. Dah! Hatari, mnaandika lakini?
 
Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Ukitaka kuona ugumu wa kwanza katika kudai, kopesha ukweni. Ugumu wa pili, kopesha mchepuko wako ambao mko ofisi moja. Ukweni unashindwa namna ya kuanza kudai, Mchepuko wa ofisini ukilazimisha kudai utakuwa ugomvi na uadui mkubwa. Kwa kuwa ulikuwa unamdai, ulipaswa kumkwepa usilie hiyo kitu. Lakini kwa kuwa umeisha kula, hiyo pesa hawezi kukupa kwa nia nzuri, kama ukilazimisha, atakulipa lakini ndo mtakuwa maadui. Miye nakushauri kwa kuwa ni mambo ya Ofisi, yamalize kiofisi kama vile kumshirkisha HR wenu. Likini Mkuu, kama ulifikia kufanyia ofsini, ulikuwa na co.nd.om kweli humo ofisini !!!
 
Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Ur thread is nuil and void.

Inawezekana vipi kumkopesha pesa mke wa mtu bila mume kuwa na taarifa? Pili kutembea na kumpiga dudu mke wa mtu ni kosa kisheria na hivyo vijihela vyako vinavyokutoa udenda havifikii thamani ya mume uliyemdhalilisha.

Je uko tayari mume wake akulipe pesa zako ila akuinamishe kwanza akupige dudu kama ulivyomfanyia mke wake? Jihadhali sana na wake za watu u will die young and soon.
 
Hii kesi imeisha,
Jamaa analamika kwasababu hajalipwa deni, Deni halitalipwa kwasababu mdai amekula tunda la mdaiwa.
Hiv huyu jamaa kweli yuko timamu anafikiria kujisalimisha kwa mwenyemke aliyemgegeda kwa gharama ya laki sita! mwache ajitie kidume halafu jamaa ausome mchezo nahsi utaomba mtu wa kuja kupost uzi kutusimulia kilichotokeaaa!
 
Mwambie mume wake unamdai hiyo 600,000 hivyo akusaidie ili uweze kulipwa hela yako na huko kahaba, akiamua ajiharibie mwenyewe kwa mumewe kuwa ameshakupa tunda
 
Hi guys, i hope ur good

Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana

Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia

Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there

Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.

Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia

Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!

Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu

Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?

Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake

Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?

Pls advise

Hupaswi kudai pesa huyo ni Mapenzi wako na wewe mkope million tu
 
Duh mimba ya miezi 7 na bado kuchepeka kwa kwenda mbele, kwa nini hua mnaolewa na wakati ujana bado mnaupenda?

Huyo dada lengo lake ni asimlipe pesa so akajilengesha.... Mjamzito tapeli.
 
Nimeunganisha dots,nimeishapata jibu.
naomba msiendelee kuiraani office yetu
kwa kuendekeza uzinzi ofisini
isije ikapata laana ikafungwa wenzenu
tukakosa ajira,bado tunahitaji ajira kwa maendeleo yetu na familia zetu.
asante kwa kunielewa.

Uwiii, siri imefichuka,
Kujieleza kwingi nako....
 
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office

Pls advise

Unfortunately, you were fortunate enough to be served the fortune of another very unfortunate man she calls a husband. So basically, you're not the unfortunate here my brotha.
 
Wewe jitu ya kenya eeeee! Huo ndio ujasiliamali wa kibongo bana..... tena nakushauri uchune tu kuwa mpolee kama hakuna lililotokea..... ulipofunguliwa kipochi manyoya ukajiona mjanjaaaaa.
 
Back
Top Bottom