NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Jamanai kuna watu wana Moyo,ivi huogopi kulala na mke wa mtu tena ana MIMBA? mmmm wewe chiboko...
Discount ya nn??..Kashalipwa huyu..
mchoyo laki sita yenyewe hata wigi hainunuiHahahaa laki 6 inataka kumtoa roho sijui mkikuyu huyu? Bahili sana
Hapo penye red,nadhani kwa kuwa tukio la kwako lilihusisha mbwaUmenikumbusha kisa changu kipindi nipo udsm kuna mbwa aliwahi nifanyia huo mchezo ila kirahisi rahisi tu akataka nizima pesa yangu, hatokuja nisahau maisha yake yote mana alinipa pesa kwa ambush moja ya hatari yeye alidhan mi ntaogopa mdai kisa alinizawadia penzi ha ha ha kidume nilikaza pesa akatoa na uadui ukaanza siku ile mpka kesho
Si analalamika kauziwa kwa bei kubwa? Aongee nae amrudishie hata 100,000 tu ili awe amenunua kwa 500,000. Nadhani itakuwa ni 'kifuta jasho'.
Kwa uswailini hata 8 na nusu kwani ndio nmna ya kupata fedha za kulea kinda, huku mwanamke ndie msimamia shoo... Hapa hadi gari ipo ila mwanamke mcharukoDuh mimba ya miezi 7 na bado kuchepeka kwa kwenda mbele, kwa nini hua mnaolewa na wakati ujana bado mnaupenda?
Nimeunganisha dots,nimeishapata jibu.
naomba msiendelee kuiraani office yetu
kwa kuendekeza uzinzi ofisini
isije ikapata laana ikafungwa wenzenu
tukakosa ajira,bado tunahitaji ajira kwa maendeleo yetu na familia zetu.
asante kwa kunielewa.
Hapo penye red,nadhani kwa kuwa tukio la kwako lilihusisha mbwa
ni tofauti na la mwenzio.
Duh mimba ya miezi 7 na bado kuchepeka kwa kwenda mbele, kwa nini hua mnaolewa na wakati ujana bado mnaupenda?
Discount ya nn??..Kashalipwa huyu..
Teh teh...Huyu kwanza anadaiwa..Inabidi aongeza hela..
Hi guys, i hope ur good
Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua tukisaidiana mambo mengi, at times tumekua tukiazimana hata chapaa na kurudishiana
Sasa tarehe 7 october aliniomba nimupe pesa tshs 600,000 atarudisha end month salary ikitoka, nikakubali nikampatia
Tarehe 16 october, we went to changombe, temeke for a work related trip, we were just two of plus the driver, driver akatushusha hapo akaenda ili baadae tukimaliza tumupigie simu aje atuchukue
Unfortunatly after the job we booked a room somewhere near Tcc club and accidentally we slept togother, to this date i do not know how we got ouselves into that trap
Later the driver came and picked us up back to our main office
Tarehe 23 october company yetu ilifungwa for general election, wazungu wetu waliogopa inaweza tokea vita kama ya Nairobi 2007, so staff wote tulipewa likizo hadi 3rd of november, but salary walitupatia 23 hiyo hiyo
Hiyo 23rd huyu dada hakuja kwa kazi, mnajua mambo ya pregnancy yanakua na complications here and there
Tuliporudi kwa kazi 3rd akaanza kunisumbua kuhusu hiyo pesa yangu, wakati salary ilishatoka since 23rd october, anasema nitakupatia tu, tarehe tisa ama kumi sikumbuki vizuri, alini text nisiondoke, staff wengine wakiondoka jioni mimi nibaki, nikajua anataka kunipatia pesa yangu siku hiyo.
Unfortunatly, tulipobaki wawili, akasema bado hajafanikiwa nimupe muda wa siku mbili atanipa tu, shetani akatupitia hapo ndani ya office, her husband was waiting for her at the parking yard, wakaondoka pamoja, nikangoja wameenda nikaenda pia
Friday ndio ilikua ahadi ya pesa, lakini hadi jioni tunaondoka job hakunisemesha, nikamupigia simu saa mbili usiku kumuuliza kuhusu pesa, hakupokea akawa anakata tu
Saturday akanipigia simu kwa hasira kali sana mchana akasema kwa nn nilimpigia simu usiku kama hubby wake yuko home!
Nikamjibu i just want my money nothin more
Akajibu na pesa sikulipi pesa iliisha tulipolala mara mbili
Akakata na simu
Guys is this a joke or what?
Kulala nae only two times ndio laki sita?
Na leo asubuhi amefika kazini ameniangalia kwa macho makali sana then akaenda kwa kiti chake
Nashindwa kuelewa kwa nini hataki kunipa pesa zangu, mnaonaje niende nimshitaki kwa boss ama nisubiri mr wake akija kumpick jioni nimwambie?
Pls advise
Kaka hio pesa sahau kulipwa, mimi suala la kukopesha nishalifuta kichwa i mwangu. Nimekopesha ndugu zangu wa damu watatu hawajanilipa.
Usiwe unakopesha kopesha kenge wewe.