Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Mimi sina wabaya, na siwezi kua na wabaya! Ndo naona watu wanawaanikaga matapeli!!!Aiseeee!!!! Hv ndo unawafanyiaga
Wabaya wako kumbe
Mimi sina wabaya, na siwezi kua na wabaya! Ndo naona watu wanawaanikaga matapeli!!!Aiseeee!!!! Hv ndo unawafanyiaga
Wabaya wako kumbe
????????Yupo kwa mwenzio
Umeongea point kabsa![]()
Matatizo mengine mnayaumba wenyewe.
UNGEMWAMBIA HAUNA ANGEKUPIGA?
WEMA USIZIDI UWEZO.
Dada mtu humjui, hela huna ila unaitafuta kwa ajili yake, serious?????Natamani kusamehe mkuu ila sina hiyo hela sasa... nikisamehe ntaitoa wapi?
Msamehe na ikiwezekana mwengezee nyingineKuna mtu alikuja ana shida nimsaidie million moja atarudisha baada ya siku 3, nilimuamini nikamwambia sina ila nitamtafutia. Nikaipata kwa mtu nikampatia, ila sasa toka aseme anairudisha mpaka leo zimepita week 3 kila siku ananiletea story kuwa anatafuta ananiletea nyumbani ila haleti, juzi nilikutana na mtu akawa ananiambia huyo mdeni ni tapeli ameshaomba hela kwa watu wengine na aliniambia hivyo bila kujua na mimi nimeshampatia pesa. Sielewi hiyo hela naipataje na mimi sina hiyo hela kusema ntailipa mara moja tu. Nisaidieni nifanye nini huyu mtu arudishe pesa ya watu.
Mwenyewe najishangaa sijui aliniroga. Alinambia mzigo wake umekwama nimkopee hiyo hela mzigo ukifika mjin tu anauuza ananirudishia hiyo hela. Kuna siku tumeonana kabisa eti tunapeleka hiyo hela kwa mwenye nayo sijui what happened nikaachana nae bila kumdai hela nikarudi nyumbani.Ulianzaje kumkopea mtu hela yote hiyo? Pole sana!
Akikusumbua zaidi kamshitaki polisi kama una ushahidi au chafua jina lake mitandaoni!
Mkuu hata kwake sipajui ndo tatizo. Si unajua mjini mnakutana juu juu kila mtu anaendelea na maisha yake, nilimuamini tu sababu watu wanaomjua vizuri waliniambia hana tatizo basi nikajitosa mzima mzima..Mh wengine hata vitu vya thamani hiyo ndani kwake hana...epuka sana hiyo kitu..kibaya zaidi huyu atakuwa aliona kukupiga pesa ni simple, lakini aliacha kukula papuchi kwake hiyo ilikuwa last task..Nilimkopea mtu kodi ya nyumba, nikailipa kwa pesa zangu mwenyewe... nilishindwa hata kumla papuchi maana nilihisi ningeing'oa.wadada wengine wanaudhi sana.
Sirudii tena
Huyu atakua alitumia na madawa kwa kweli. Maana nikimuona nasahau kabisa kukumbushia deni na hata nikimkumbusha akinambia ananipa narelax.Wema usizidi uwezo. Sometimes matapeli sijui wanatumia madawa, wakija kwako lazima wakulize ikibidi hata kijiko.
Ama umemkomalia huyo babay wako mwishowe utamuota usiku.Kumbe humjui Raimundo eh!?