Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Doh! Mungu akusaidie uje uvune unipeleke na beach
Bibi huko bichi zenu za Daslam sikuji, maana hua hawachelewi kuniibia kama sikuzile nilipo uzaga ng'ombe.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Niliabika sana bibi......[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Na dawa ya mtu unayemdai ni kumfanyia ukorofi tu ili kwanza umtie woga..

Ukiona unakuwa mtata mpaka akikuona anakukwepa hapo ujue dawa inaanza kuingia sasa.

Ila unamdai mtu anapata mpaka ujasiri anakutana na wewe uso kwa uso, hapo ujue hujamdai vizuri
 
Bibi huko bichi zenu za Daslam sikuji, maana hua hawachelewi kuniibia kama sikuzile nilipo uzaga ng'ombe.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Niliabika sana bibi......[emoji25] [emoji25] [emoji25]

Usijali Babu ukiwa namimi hakuna wakukuRaimundo
 
Tiki nachelewesha basi... subiri mchuchu naye aje akugongee kamoja
Unajidaieeeeeee.....[emoji34] [emoji34]
Ukajidai kuninyima ufundi wa kuvaa suti kwenye nyago, ili nami nipendweeee.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Andaa arrangement na huyo aliyekukopesha uweze kulipa million ya watu vinginevyo atakusumbua utakosa amani
Nimemuahidi ntamlipa mwisho wa mwezi maana nimezungusha sana. Lakini sasa kulipa million parefu sana.
 
Daaah anyway nakuonea huruma.. Natamani ungekuwa na ujasiri kama wale wamama wakichaga.

Mtu kila siku anafatwa asubuhi nyumbani kwake ni unapigwa wimbo mtaa mzima unakusanyika kuja kusikiliza mtu anavodaiwa..

Na ndo hapo nilianza kujifunza ubandidu. Huyu mtu mfate asubuhi mpigie wimbo wiki nzima mfululizo ikibidi majirani waje..

Anyway, najua ni ngumu unaweza kuwa labda wewe ni mdada wa kisasa huwezi kufanya hivo na ndo mana jamaa anakuzungusha maana ashajua weakness yako ilipo.. Huwezi kumdai
Yeah.. kajua weakness yangu. Sema ntamtia aibu watu wajue hela anazofanyiaga show off ni za kukopa. Kama vipi tukose wote. Ningekua na uwezo ningemkodia kigoma niende kumdai sema hii aibu haitaniacha salama.
 
Back
Top Bottom