Nimeshamwambia hapa nikimlipia deni lake ajiandae kwa aibu itakayomkuta. Kakata simu.Na dawa ya mtu unayemdai ni kumfanyia ukorofi tu ili kwanza umtie woga..
Ukiona unakuwa mtata mpaka akikuona anakukwepa hapo ujue dawa inaanza kuingia sasa.
Ila unamdai mtu anapata mpaka ujasiri anakutana na wewe uso kwa uso, hapo ujue hujamdai vizuri
Kama ni tapeli hii haitosaidiaKama unatosha naenda mchukulia rb au kumuexpose Instagram watu wamjue. Nimechoka
Atii,,,,, unaitwa nani???Ukifatilia maisha ya ma capitalist na jinsi walikuwa wana hustle kutafuta pesa zao.
Kitendo cha mtu kumrusha mtu pesa ni kitendo cha hatari mno, Ndo mana mara chache ufanye kitu na mzungu u mrushe halafu akuache.
Atakutafuta tu akunyooshe.. Na hiyo ndo dawa ya mdaiwa.. Ni kumnyoosha tu
Yaani dada angu usije ukasamehe hii hela huyu mtu itabidi akulipe. ikibidi kaa chini weka strategies kabisa.. Huyu usimwache kabisa.. Yaani khaaa ingekuwa ni mimi daaaah aiseeeee..
Mtu anakurushaje pesa yako?
jipe tu moyo maana hakunaUkisema hivyo unazidi kunipanikisha...
Wewe jamaa upo?jipe tu moyo maana hakuna
Namna c unajua maji yakishamwagika
Hayazilek
Wewe jamaa upo?
Siku hizi umepoa sana ndugu yangu.
Nia baada ya mimi kukupiga ban?
(Sometime mimi nahack id ya mods afu natafuta mbaya wangu namlamba ban.)
Au ni baada ya mimi kukunyan'ganya cheupe mahondaw afu nikamuuza kwa smart?
Maana naona ndugu upo shocked sana huna amani kabisa.
Au ndio moyo mashine?
Pole sana kijana mapenzi hayana formula blaza. Usiwaze sana kila siku wanazaliwa[/color.
Ulianzaje kumkopea mtu hela yote hiyo? Pole sana!
Akikusumbua zaidi kamshitaki polisi kama una ushahidi [Color= yellow]au chafua jina lake mitandaoni[/color]!
Yupo kwa mwenzio