Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Sijui kama ni member ila nahitaji msaada wa nini cha kufanya maana anaonekana hana mpango wa kutoa hiyo hela.
Veri simpo......
Basi asafali kesho uje hom nikulipe, kuliko kuja kunianzishia saga humu....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Fanya kutafuta watu wenye busara wawakutanishe na hicho kiumbe waongee nacho.

Ikiwezekana nenda na watu unaodhani atawaogopa akishakiri ulimkopesha Chukueni hata mali yake yenye thamani na hizo pesa ukae nayo kwa muda asipoleta unauza.

Protocol za kudai haki mahakamani aseeh naona hauna ushahidi.
Pole babe
mi mwenyewe nakutana nae ila nikikutana nae anasema anafuatilia bado lakini anafuatilia mpaka lini? Nadhani la kwenda na watu ni wazo zuri bby.. Ntajaribu na hilo.
 
Fanya kutafuta watu wenye busara wawakutanishe na hicho kiumbe waongee nacho.

Ikiwezekana nenda na watu unaodhani atawaogopa akishakiri ulimkopesha Chukueni hata mali yake yenye thamani na hizo pesa ukae nayo kwa muda asipoleta unauza.

Protocol za kudai haki mahakamani aseeh naona hauna ushahidi.
Pole babe
Asante my love..
 
Asante mpenzi. Ila huyu sikutegemea hata kama angeweza kufanya haya maana nimeambiwa ana hela na ni mtu ambae anajulikana sana kwa matumizi yake, kibaya zaidi sifahamu anapoishi wala anapofanya kazi ila marafiki zake nawafahamu baadhi.

Ulikopeshaje hela kwa mtu ambae umjui? Bora umetapeliwa.
 
Nikija home utanidanganya hutanilipa wewe...
IMG-20160725-WA0003.jpg

Leo nakulipa wallah......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Pole.. Huyo mtu hiyo hela atakuwa kaponda starehe na wala hajaifanyia cha maana ndo mana haijajizaa imwezeshe alipe deni...

Siku nyingine usikopeshe mtu usiyefaham source ya income yake.. Tena hawa ma braza men wanukia perfume usije ukajaribu tena...

Ni bora ungemkopesha hata muuza matunda na karanga.. Angeizungusha na riba ungepata..
 
Asante my dear...
 
Nikienda kwenye swala la msingi.. Huyu mtu unaweza ukafanya yafuatayo akilipe pesa yako..

1. Muoneshe umekasirika.. Vaa uso wa mbuzi kunywa hata bia tatu halafu muibukie kama chizi u mchimbe biti la ukweli na ikiwezekana na matusi juu.. Hapa unaweza ukanikodisha nikusindikize.

2. Mu expose kwa watu ili umtie aibu.

3. Nenda polisi uwaeleze vizuri hata umfungulie kesi ya utapeli.. Huko kwenye upelelezi itakuja kujulikana.. Hapo lazima polisi wamfanyie harassment.

4. Tenga wiki mbili za kumtafuta.. Yaani hata watu wa karibu wawe wanampa habar kwamba unamtafuta akulipe deni lako.

Lengo kuu hapo ni kumtia jamba jamba kwamba anatakiwa akulipe pesa yako na si vingine. Na umuoneshe kwamba umejitoa kufanya chochote mpaka akulipe..

Yafanye hayo utakuja kuniambia..

Ikishindikana kabisa huyu itabidi akodishiwe watu apewe kichapo atibiwe na hiyo milioni..
 
Back
Top Bottom