Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Kwani nayeye ni member wa humu..!?
Ama unataka tukusaidie kwa mchango ili ukalipe deni...!?
Au ndio yule alie msomesha huyu member mwenzetu na jamaa akamkopesha na sasa hataki kumlipa ilhali tunamuon humu na anachangia kama kawaida...!?
 
Mwendee Handeni Kwamsisi, yule mzee pale atamkoroga akili akuletee x 2, dawa ni hiyo
Mkuu umeiona pm yangu...[emoji69] [emoji69]
Minataka unionyeshe hiyo maneno ya handeni, maana kuna mtoto mmoja humu ndani ananichanganya sana...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Pole sana ukiona manyoya jua kaliwa ungekuwa umeandikishana ungemshtaki siku zote watu tuwaaminio ndo matapeli wakubwa.
Comrade....
Hii tabia ya kutoa hukumu wakati haujasikiliza pande mbuli sio sawa kabisa......[emoji135] [emoji135]
 
5de5fec196e559e276e2a56d8fe09e22.jpg

Matatizo mengine mnayaumba wenyewe.
UNGEMWAMBIA HAUNA ANGEKUPIGA?
WEMA USIZIDI UWEZO.
Kweli wema wangu ulinizidi uwezo.
 
Kwani nayeye ni member wa humu..!?
Ama unataka tukusaidie kwa mchango ili ukalipe deni...!?
Au ndio yule alie msomesha huyu member mwenzetu na jamaa akamkopesha na sasa hataki kumlipa ilhali tunamuon humu na anachangia kama kawaida...!?
Sijui kama ni member ila nahitaji msaada wa nini cha kufanya maana anaonekana hana mpango wa kutoa hiyo hela.
 
We are sailing in the same boat! kuna rafik angu kabsaaa alkuja nikamkopesha 200,000/- alisema angenirudishia kesho sas iyo kesho ni mwez saiz na amekaa kimya tu. Yaan nafikiria cjui nimfanye nin
Bora laki 2. Yangu ni ndefu eti, nikikumbuka nilivyohangaika kumpatia hiyo hela na anavyofanya sasa hiv nachanganyikiwa...
 
Hali ya uchumi ya sasa utamshika mtu ubaya bure. Kama vile ambavyo we huna na yeye ndiyo HIVYO HIVYO.
 
Babe hatukuandikishiana popote wala hakuna bond yoyote. Mi nina shida moja ya kuamini mtu.
Fanya kutafuta watu wenye busara wawakutanishe na hicho kiumbe waongee nacho.

Ikiwezekana nenda na watu unaodhani atawaogopa akishakiri ulimkopesha Chukueni hata mali yake yenye thamani na hizo pesa ukae nayo kwa muda asipoleta unauza.

Protocol za kudai haki mahakamani aseeh naona hauna ushahidi.
Pole babe
 
Back
Top Bottom