money agenda
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 250
- 192
Mm pia ni muhanga wa hili tatizo though mine is 2m..kibaya zaidi mkopaji ananitolea lugha za kejeli na dharau kisa hatukuandikishana, nimejiapiza kutumia njia yoyote chini ya jua kumshinikiza alipe na atalipa tu.