Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Katika maisha jifunze kitu kimoja kabla ya kukopesha mtu. Rafiki na asiye Rafiki.

1. Je akishindwa kulipa urafiki wenu utapotea?
2. Je akishindwa kulipa maisha yako yatatetereka kwa sababu ya hiyo pesa?
3. na mwisho wa siku akishindwa kukulipa utamchukia yeye au ndugu zake?

Kama jibu ni ndiyo katika mojawapo ya hayo maswali matatu, basi mshauri aende Benki.
Nimeipenda

ila yote ya yote
mimi nimeamua moja tu, kutokumpa mtu hela kama mkopo,
nitampa kama mchango au msaada.
 
Mkuu kupoteza hiyo ni pigo kwangu kwa sababu itabidi niilipe mwenyewe.

Lipa na uchukulie kama funzo kali. Vinginevyo utashindwa kusonga mbele kisa unawaza jinsi jamaa alivyokuingiza kingi,
wakati yeye hana hata habari anaendelea kutafuta mwingine wa kumuingiza kingi
 
We are sailing in the same boat! kuna rafik angu kabsaaa alkuja nikamkopesha 200,000/- alisema angenirudishia kesho sas iyo kesho ni mwez saiz na amekaa kimya tu. Yaan nafikiria cjui nimfanye nin
Looh, mimi kuna ndugu yangu alikuja kunikopa fedha tshs 500,000 alipe ada ya shule ya binti yake alikuwa form II, tuliandikishana na nikampa. Hadi leo hajanilipa miaka kadhaa imepits hadi huyu binti kamaliza chuo. Sasa binti kaposwa na wamelitea kadi ya mchango, sijui niwaambie wakate kwenye lile deni au nikauke tu. Mambo mengine no kumuachia Muumba tu.
 
Wanga mnajulikana tu! Huyo mzee mwenyewe atataka ela sasa si bora apunguze deni

Tatizo lako ni kuwa, Kwanza wewe ni bahili hivyo hata kukopwa hutakopwa. Pili, una roho ya kukata tamaa. Nimekwambia kuwa huyo mzee wetu hahitaji kitu kwako hadi ulipwe, na zaidi ya yote sio weye unalipa bali mdeni wako atalipa kama aitaka kukurusha au kukusumbua. Hii ni adhabu anapewa asiendelee na uhuni huo
 
Tatizo lako ni kuwa, Kwanza wewe ni bahili hivyo hata kukopwa hutakopwa. Pili, una roho ya kukata tamaa. Nimekwambia kuwa huyo mzee wetu hahitaji kitu kwako hadi ulipwe, na zaidi ya yote sio weye unalipa bali mdeni wako atalipa kama aitaka kukurusha au kukusumbua. Hii ni adhabu anapewa asiendelee na uhuni huo
Hahahaa Tanga ndio home kwetu unapozungumzia ulozi Tanga mie nimeiona kwa macho na si kuusikia acha kumdanganya mwenzio
 
Yaani mil moja unakopa kwa ajil yakumkopesha mtu ilhali wewe hunabuwezo wa kiasi hicho cha pesa kulipa… (mmmhh)

Anyway, nakushauri ukamshtaki kama mliandikishiana au mlipeana mbele ya mashahidi ,

Vinginevyo hakuna chakufanya zaidi ya kumuachia mungu tu
 
Back
Top Bottom