Hahahaa Tanga ndio home kwetu unapozungumzia ulozi Tanga mie nimeiona kwa macho na si kuusikia acha kumdanganya mwenzio
Sijakuelewa mkuu, yaani wasema haiwezekani kumloga huyo mrushi au?? Pinga!!
Hahahaa Tanga ndio home kwetu unapozungumzia ulozi Tanga mie nimeiona kwa macho na si kuusikia acha kumdanganya mwenzio
Hivi kwann unamuaminisha mwenzio katika kulogana? Acha Mawazo ya kipuuz hiyo ela ya nenda rudi nenda rudi,kalete mbuzi kalete mayai viza si ni bora ajiongeze tu akalipie deni kwa aliye muazima!!?Sijakuelewa mkuu, yaani wasema haiwezekani kumloga huyo mrushi au?? Pinga!!
Hivi kwann unamuaminisha mwenzio katika kulogana? Acha Mawazo ya kipuuz hiyo ela ya nenda rudi nenda rudi,kalete mbuzi kalete mayai viza si ni bora ajiongeze tu akalipie deni kwa aliye muazima!!?
Hivi we unadhani Tanga yetu ile uziguani tu ndio pa kumtishia Mtu!?after all sina tabia ya kukopa kopa hovyo tupatacho tunaridhika nacho hivyo huna sababu ya kunitisha hata kidogo,ila acha hayo mawazo ya kumtegemea mganga kama Mungu wako vileInaonesha weye ni miongoni mwa wale wajao kwa unyenyekevu sana kuja kukopo ila mkiisha pata mnakuwa wakali. Usidhani namdanganya huyu mtu. Nakuambia kama unahusika kwa vyovyote vile, rudisha haraka kabla hajaamua kwenda Handeni. Ohooo! Sikutishi. Akiingia tu pale, ujue umekwisha. Patana naye kabla hajaenda huko. Ni rahisi sana kutamka hukumu ila ni shida sana kuirudisha hukumu iliokwisha tolewa. Shauri lako. Nenda kalilipe deni lako haraka au akufanye uwe mbwa
Polisi hawahusiki na madai mkuuKama kuna maandishi nendeni polisi
Polisi watakwambia nenda mahakamani, na mkienda court, kuna mawili, aidha akatae muanze kesi hadi umshinde ni issue au akubali halafu atoe namna ya kulipa. Mfano kila mwezi akupe 50,000/- hadi amalize deni.Hatukuandikishana popote ila nina msg zake za siku niliyompatia pesa. Huo ndo ushahidi pekee nilionao.
AhahahaSasa kama alikua hana kwanini akope? Si angekubaliana na hali yake kama mimi?
Wewe jamaa upo?
Siku hizi umepoa sana ndugu yangu.
Nia baada ya mimi kukupiga ban?
(Sometime mimi nahack id ya mods afu natafuta mbaya wangu namlamba ban.)
Au ni baada ya mimi kukunyan'ganya cheupe mahondaw afu nikamuuza kwa smart?
Maana naona ndugu upo shocked sana huna amani kabisa.
Au ndio moyo mashine?
Pole sana kijana mapenzi hayana formula blaza. Usiwaze sana kila siku wanazaliwa.
nyie kwani hamjanimiss?You missed us! Smart911 n his wifee!. Not so??
Mwambie akate 50000 afu wakuletee chenjiLooh, mimi kuna ndugu yangu alikuja kunikopa fedha tshs 500,000 alipe ada ya shule ya binti yake alikuwa form II, tuliandikishana na nikampa. Hadi leo hajanilipa miaka kadhaa imepits hadi huyu binti kamaliza chuo. Sasa binti kaposwa na wamelitea kadi ya mchango, sijui niwaambie wakate kwenye lile deni au nikauke tu. Mambo mengine no kumuachia Muumba tu.
Hakuna namna mdai kibabe mana ukimpeleka police haisadiiiKuna mtu alikuja ana shida nimsaidie million moja atarudisha baada ya siku 3, nilimuamini nikamwambia sina ila nitamtafutia.
Nikaipata kwa mtu nikampatia, ila sasa toka aseme anairudisha mpaka leo zimepita week 3 kila siku ananiletea story kuwa anatafuta ananiletea nyumbani ila haleti, juzi nilikutana na mtu akawa ananiambia huyo mdeni ni tapeli ameshaomba hela kwa watu wengine na aliniambia hivyo bila kujua na mimi nimeshampatia pesa.
Sielewi hiyo hela naipataje na mimi sina hiyo hela kusema ntailipa mara moja tu. Nisaidieni nifanye nini huyu mtu arudishe pesa ya watu.
Hivo hivooAtii,,,,, unaitwa nani???