Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

kwani ni kila siku? si mara moja moja tu. kwanza kama naona tunapotezeana muda kwanini nije kwako nikupikie niunguze vidole vyangu halafu iweje?
Ni wajibu wako. Unafikiri tunavyochochea kuwamiminia protini ni kazi ndogo?
 
Wanawake mnajijua mpo makundi mawili la kwanza ni wale mlioumbwa kutafunwa na kuzalishwa matoto na kuachwa mkiruka kwa huyu hadi yule, na la pili walioumbwa na heshima zao wanajali wanaume wao nao wanakula manono ya nchi wakiwa na familia zao hawana shida na matatizo, so na sisi tunawajua type zenu na tunareact accordingly, so ukiona mwanaume anakudiss jiangalie na ww unaishije nao
Nimekugongea LIKE kama huamini nenda kakague
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom