Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Na ndio unachopata baada ya hapo ni malalamiko kutoka kwa mwanaume na hata akinunua chips atalalamika
Kuna mwanaume hata akilalamika poa tu. Kama hajajua mwanamke alienae anmchukuliaje analalamika nini sasa? Kuna tabia mwanamke akikuonyesha jiongeze she's not into you bro. Mwanamke anaekupenda hawezi taka mle mahotel kila siku. Ila kama hakupendi eiish. Bby Leo twende dinner Serena kesho twende kwingine sababu Hana cha kupoteza
 
Mimi najua kupika ila kuna sehemu nikienda hata Maji ya kuoga sichemshi kwa sababu nilienae hastahili hizo huduma nzuri. Na ndio maana Kama nakuja kwako nitakwambia bby ninunulie Chakula sio bby nunua nikija nipike.
Tatizo lenu wanaume mnahisi nyie pekee ndo mnaweza kujua huyu chapa ilale huyu moyo umetulia. Hata sisi tunaingiaga kwenye relationship halafu tunagundua hapa hamna kitu. Ndo nikija kwako nakuja Mimi na tumbo langu na smartphone yangu.
Sasa unaenda kufanya nini? Hastahili kupikiwa ila huduma nyingine unampa.....!
 
Kuna mwanaume hata akilalamika poa tu. Kama hajajua mwanamke alienae anmchukuliaje analalamika nini sasa? Kuna tabia mwanamke akikuonyesha jiongeze she's not into you bro. Mwanamke anaekupenda hawezi taka mle mahotel kila siku. Ila kama hakupendi eiish. Bby Leo twende dinner Serena kesho twende kwingine sababu Hana cha kupoteza
Yaah ni km hivyo, ndomana tunakimbia baada ya kuichapa ile kitu, baada ya hapo hata ukisema bebi nakuja home lazima nijifkilie mara mbili, na visingizio natoa
 
Yaah ni km hivyo, ndomana tunakimbia baada ya kuichapa ile kitu, baada ya hapo hata ukisema bebi nakuja home lazima nijifkilie mara mbili, na visingizio natoa
Kwanza home hatupendeleagi Sana Mara nyingi makutano ni nje ya kwako ili usiniombe tunda.
 
Nakumbuka nishawahi kufichiwa kibakuli cha kande kwenye maziwa. Enzi hizo nipo darasa la 3 au 4
Khaa!! Huyo mwanamke wako alikuwa na maziwa makubwa kiasi gani hadi akaficha kibakuli watu wasimshitukie?
 
Hahaa demu kama huyo wakazi gani sasa"... maana ukimpinda dog style" Akitokea mtu ghafla anaweza kwenda kukuitia police " Akidhani kuwa unamlawiti KIBOKO
Ujue wewe ni chizi sana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwanza home hatupendeleagi Sana Mara nyingi makutano ni nje ya kwako ili usiniombe tunda.
Kwani nje ya kwangu siwezi kukuomba tunda? Nikifkia stage ya kukupeleka home ni kwamba ushaliwa au unaenda kuliwa na wewe lazima ujue hilo.
 
Kwani nje ya kwangu siwezi kukuomba tunda? Nikifkia stage ya kukupeleka home ni kwamba ushaliwa au unaenda kuliwa na wewe lazima ujue hilo.
Hivi wajua kuna MTU akishashiba ukimla poa tu? Yani hata Kama hakupendi ila akiwaza ushampeleka sehemu nzuri kula anakupa tu usijisikie vibaya
 
Hivi wajua kuna MTU akishashiba ukimla poa tu? Yani hata Kama hakupendi ila akiwaza ushampeleka sehemu nzuri kula anakupa tu usijisikie vibaya
Na mimi wala sitaki unipende...watanipenda wangapi? Unajua wangapi kama wewe washakula na kuliwa?! Wote hawawezi kunipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom