Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
HahaahhahaaaHa ha ha...nacheka Kiingereza.
HahaahhahaaaHa ha ha...nacheka Kiingereza.
sikujibu.Nabisha. Tena nabisha
Inategemea na ujazo wa mahaba. Ila kupika kwangu sio shidaIla kupika ndo shida?
Hahahahaahaaaaasikujibu.
hahaa " sikutegemea kuwa ungepita hukuHahahahaha we jamaa kumbe una maneno hivi
Unapikaje na mikucha kama shetani?!! Ndio maana tunawacheki huku tukisema hiiiiiiiiiiiiiInategemea na ujazo wa mahaba. Ila kupika kwangu sio shida
Huyo jamaa anapitaga huku kutafuta ugomvi tu...hahaa " sikutegemea kuwa ungepita huku
Mi huwezi nipikia ubwabwa?Inategemea na ujazo wa mahaba. Ila kupika kwangu sio shida
Alaaa Kumbe ... ngoja nione AnachokitafutaHuyo jamaa anapitaga huku kutafuta ugomvi tu...
Afu ukute anakata kachumbari na mikucha yake sasa...Unapikaje na mikucha kama shetani?!! Ndio maana tunawacheki huku tukisema hiiiiiiiiiiiii
Nimetamani nikupigie picha kucha zangu. Siweki kucha bandia sababu naumia. Kwanza pia hazizuii kupika labda Kama MTU anataka kuponda unga wa chapati ila hivi vyakula vingine kucha hazina shidaUnapikaje na mikucha kama shetani?!! Ndio maana tunawacheki huku tukisema hiiiiiiiiiiiii
Si zitaharibika? Vipi kwenye kachumbari?Nimetamani nikupigie picha kucha zangu. Siweki kucha bandia sababu naumia. Kwanza pia hazizuii kupika labda Kama MTU anataka kuponda unga wa chapati ila hivi vyakula vingine kucha hazina shida
JF hamna mwenye makucha marefu,mvaa mawigi wala mtumia make-upsNimetamani nikupigie picha kucha zangu. Siweki kucha bandia sababu naumia. Kwanza pia hazizuii kupika labda Kama MTU anataka kuponda unga wa chapati ila hivi vyakula vingine kucha hazina shida
Haziharibiki bwana..Si zitaharibika? Vipi kwenye kachumbari?
Akiwa na hio mikucha hafanyi chochote...watapika wengine.Afu ukute anakata kachumbari na mikucha yake sasa...
Mbona Mimi nasemaga navaa mawig huku jamani. Navaa mawig jumatatu mpaka jumatatu nikiwa nyumbani tu ndo navua kofia.JF hamna mwenye makucha marefu,mvaa mawigi wala mtumia make-ups
Rafiki wewe hujammiss yule sweetheart wako wa chuo ambae mlichezeana na kuachana?Haziharibiki bwana..
Mi ukinikatia kachumbari na hiyo mikucha yako ujue kitakuwa chakula cha mbuziHaziharibiki bwana..
Sijammiss rafiki. Afu unapenda kubaka mada rafikiRafiki wewe hujammiss yule sweetheart wako wa chuo ambae mlichezeana na kuachana?
Hahahah vyepe lazima vihusike kwenye menu.Akiwa na hio mikucha hafanyi chochote...watapika wengine.