Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Wala hawanywi balimi, konyagi wala safari lager.JF hamna mwenye makucha marefu,mvaa mawigi wala mtumia make-ups
Wala hawanywi balimi, konyagi wala safari lager.JF hamna mwenye makucha marefu,mvaa mawigi wala mtumia make-ups
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula😂
😂
😂![]()
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!😁
😁
😁
😁![]()
Si nilisikia lakini mnapenda hiyo mnayoiita mikucha? Nasikia mnapenda mpapaswe nayo kwenye kile kichwa kingine sijui na mgongoniHahahah vyepe lazima vihusike kwenye menu.
Kwani kabla hamjaanza kutongozana ulikuwa huli? Yaani nyie viumbe wa ajabu kweli. Kauli nzuri unataka,chakula unataka,mkong'oto unataka;kasoro roho tu!Hivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Sasa kama hatunywi mnataka tuseme tunakunywa tumfurahishe nani sasa?Wala hawanywi balimi, konyagi wala safari lager.
Ile kukujibu tu nimekubali na njaa huwa inakuja hapo hapo..Kwani kabla hamjaanza kutongozana ulikuwa huli? Yaani nyie viumbe wa ajabu kweli. Kauli nzuri unataka,chakula unataka,mkong'oto unataka;kasoro roho tu!
Wooote hamnywi... si ndio?Sasa kama hatunywi mnataka tuseme tunakunywa tumfurahishe nani sasa?
Khaaaa!Si nilisikia lakini mnapenda hiyo mnayoiita mikucha? Nasikia mnapenda mpapaswe nayo kwenye kile kichwa kingine sijui na mgongoni
Nimeongelea Mimi sinywi. Wengine si unajua hawajikubaligi wanataka kuonekana na wao hawanywi sababu wengine hawanywi.Wooote hamnywi... si ndio?
We najua unakunywa St. AnnaNimeongelea Mimi sinywi. Wengine si unajua hawajikubaligi wanataka kuonekana na wao hawanywi sababu wengine hawanywi.
Kuna siku nilenda kumtembelea mrembo mmoja ofisini kwake, anavaa sana hayo madude yenu. Basi nimefika pale kuna binti nikampita mlangoni hadi reception nauliza fulani yuko wapi naambiwa yule pale umempita mlangoni! Kugeuka naona mdada na kipara kumbe kavua wigi ni yeye!Mbona Mimi nasemaga navaa mawig huku jamani. Navaa mawig jumatatu mpaka jumatatu nikiwa nyumbani tu ndo navua kofia.
Make up sijajua unaongelea IPI ila nataka powder nikijisia ila lipstick ndo karibia kila siku napaka.
Kucha bandia sina kwanza hata rangi sipaki kwenye kucha labda henna
St. Anna? Situmii kabisa. Ule utamu wake na Mimi mtamu tayari naweza muua MTU bure. Nakunywa zenye utamu wa katiWe najua unakunywa St. Anna
Hahahahahaaa. Bahati mbaya Mimi hata nikivua sibadiliki kitu.Kuna siku nilenda kumtembelea mrembo mmoja ofisini kwake, anavaa sana hayo madude yenu. Basi nimefika pale kuna binti nikampita mlangoni hadi reception nauliza fulani yuko wapi naambiwa yule pale umempita mlangoni! Kugeuka naona mdada na kipara kumbe kavua wigi ni yeye!
Penasol au Dompo?St. Anna? Situmii kabisa. Ule utamu wake na Mimi mtamu tayari naweza muua MTU bure. Nakunywa zenye utamu wa kati
Penasol nikikosa wine KaliPenasol au Dompo?
Ki digital Zaidi-unataka madem waibe chakula kwao wakuletee ule. Are you serious. Jipange brotherNimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula😂
😂
😂![]()
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba kutoka kwao ni charger ya smartphone tu, na akija anakuja ana njaa kama mkimbizi wa Burundi!😁
😁
😁
😁![]()
Si bora tu akwambie bidhaa yangu ipo sokoni,mnapiga bei,chakula akajinunulie. Baada ya kudai ana njaa atakwambia na kodi ya nyumba anadaiwa.Ila wa hivo kila kitu unakubali,ukishaila nyama ulokuwa unataka,mwambie utatuma kwa M-Pesa.Kudadeki....Demu unamtongoza leo mkibadilishana no ukimwambia tu mambo anakwambia bebe hapa ata mambo so mazuri naskia njaa sasa mimi ndo huwa nashangaa sjui sms yangu inavumbi,ukame,jua kali ilipoingia tu kwenye simu yake akadhoofu
Mkuu tatizo sio kumnunulia chakula, tatizo ni misosi itakayoagizwa utafikiri hatakula tena maishaHivi kwanini wanaume wa siku hizi mnaona kumnunulia mwanamke Chakula ni kitu kikubwa?
Mkitutongoza na matatizo yananziaga hapo hapo.Si bora tu akwambie bidhaa yangu ipo sokoni,mnapiga bei,chakula akajinunulie. Baada ya kudai ana njaa atakwambia na kodi ya nyumba anadaiwa.Ila wa hivo kila kitu unakubali,ukishaila nyama ulokuwa unataka,mwambie utatuma kwa M-Pesa.Kudadeki....