Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Nimemiss sana mapenzi ya zamani

Wanawake wawatunze na kuwahudumia wanaume, na wanaume watawatunza na kuwahudumia wanawake, kila mtu ana part yake ya kutenda, sasa km wanawake wa siku hizi mlivyo wengi wenu mnajua kukaa saluni na kuweka mikope mirefu km makuti ya mnazi, mikucha mirefu km reki nakujiremba kila muda mnafanya kazi ya kupiga simu bebi nitumie hela ya hiki nitumie hela ya kile hata wengine kupika hawajui wanataka wakatolewe out kwenye fast foods ili wapige picha insta wakiwa wamependeza na makalio yao, kuna matunzo pia tunataka kutoka kwenu wadada zetu, km mnatimiza majukumu yenu na sisi tunafunguka mbona tunawapa kila kitu, ila wengi wenu wazembe tu mnaona mwanaume ndo anatakiwa akulee na kulainisha maisha yako akupe goodtimes ujione princess, mfanye mwanaume wako Mfalme naye atakufanya Malkia wake vizuri tuu, mbona easy
Sio wote tupo hivyo
 
kwani ni kila siku? si mara moja moja tu. kwanza kama naona tunapotezeana muda kwanini nije kwako nikupikie niunguze vidole vyangu halafu iweje?
Wanawake mnajijua mpo makundi mawili la kwanza ni wale mlioumbwa kutafunwa na kuzalishwa matoto na kuachwa mkiruka kwa huyu hadi yule, na la pili walioumbwa na heshima zao wanajali wanaume wao nao wanakula manono ya nchi wakiwa na familia zao hawana shida na matatizo, so na sisi tunawajua type zenu na tunareact accordingly, so ukiona mwanaume anakudiss jiangalie na ww unaishije nao
 
Ndomaana hata kwenye ndoa kuna wababa wanakimbia familia zao wanaenda kwa mwanamke wa nje sio kwa kujiremba kwake, bali yale matunzo baabkubwa mkewe hampi, mwanaume ni bwege tu kwa mwanamke mwenye utundu wake, sasa nyie jifanyeni mnajua kusagisha viti vya saluni na kutia sugu screen protector kwa kupiga mapicha lazima mwanaume asepe au akuvimbie hata vocha analalamika
 
mbona unaleta mada yako chief? mada chakula hayo ya kuzalishwa unayatoa wapi? fungua uzi wako ongelea ulichoandika hapa usitoke nje ya mada.

back to the topic, hata huyo uliemuoa wewe kuna mtu alimuona hana vigezo vya kuwa mke wake ndo maana hakumuoa akakuachia wewe uje kumuoa. na sisi pia tunaangaliaga watu tunajua hapa chenga hapa pa kushikilia upo nyonyo. unalipwa unachostahili chief. ukiendelea na mada ya sisi kupenda kula na kubeba chaja za smartphone nitag upupu mwingine usinitag

Ouch....!
 
Mi nimereply tu comment yako wala sijakutag, mjiangalie vizuri na nyie sio mnalalamika tu, km kupika hamjui njooni mmekula hela yetu nayo inakazi
 
Ndomaana hata kwenye ndoa kuna wababa wanakimbia familia zao wanaenda kwa mwanamke wa nje sio kwa kujiremba kwake, bali yale matunzo baabkubwa mkewe hampi, mwanaume ni bwege tu kwa mwanamke mwenye utundu wake, sasa nyie jifanyeni mnajua kusagisha viti vya saluni na kutia sugu screen protector kwa kupiga mapicha lazima mwanaume asepe au akuvimbie hata vocha analalamika
Aiseee...!
 
Mi nimereply tu comment yako wala sijakutag, mjiangalie vizuri na nyie sio mnalalamika tu, km kupika hamjui njooni mmekula hela yetu nayo inakazi
Mimi najua kupika ila kuna sehemu nikienda hata Maji ya kuoga sichemshi kwa sababu nilienae hastahili hizo huduma nzuri. Na ndio maana Kama nakuja kwako nitakwambia bby ninunulie Chakula sio bby nunua nikija nipike.
Tatizo lenu wanaume mnahisi nyie pekee ndo mnaweza kujua huyu chapa ilale huyu moyo umetulia. Hata sisi tunaingiaga kwenye relationship halafu tunagundua hapa hamna kitu. Ndo nikija kwako nakuja Mimi na tumbo langu na smartphone yangu.
 
Na ndio unachopata baada ya hapo ni malalamiko kutoka kwa mwanaume na hata akinunua chips atalalamika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom