Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,587
Kabisa yaani mumy.Yani ujinga wa kiwango cha lamii![]()
Enhe halafu nina kesi na wewe za kuchunia msg yangu?
Kabisa yaani mumy.Yani ujinga wa kiwango cha lamii![]()
Au ulikuwa busy ukasahau hata kunijibu. LolSikuchunia mamy![]()
Nisamehe tuAu ulikuwa busy ukasahau hata kunijibu. Lol

Usijali mwaya mumy. Ila si kwema?Nisamehe tu![]()
Ndio. Halafu nikikutumia PM haiwezekaniUsijali mwaya mumy. Ila si kwema?



Hahahah kuna statement unazisoma and you can't stop wonder kwa nini wanaume wataendelea kututreat as if wametufanyia favor kutuoa. Unamkuta mke wa ndoa kajikatia tamaa huyo jamani mweeh. Na justification yao siku zote " ooh all men cheat una uhakika gani kama huyo mwingine hatocheat", sio kwa kujipa moyo huko khaa. I cant imagine what are we teachin our daughters, kwamba they should just stick with their abusive partners coz all men are the same? God forbid. Unasema tu my man cheats ila me siondoki, why lying to yaself? AbegHapana..siyo kweli..Wanaume sivyo walivyo ila mume wake ndivyo alivyo!!
Pole mwaya. Kuna mjinga mmoja alinikera. Ngoja niiweke sawa mwaya.Ndio. Halafu nikikutumia PM haiwezekani![]()
Haha shikamoo mama angu. NimekumissKijipa stress.za bure. Mtu ukiona anakusumbua anza, huyo siyo mama yako.
Basi hata hiyo 0.11% imeshaweka utofauti, not all men cheat. Tuachage kuhalalisha uzinzi.Hakuna mwanaume asiyecheat hata km wapo ni 0.11%, bt mwanaume anayejitambua hata km anacheat hawezi kukuoneshea dharau hata mara moja, so achana kufatilia mumeo hata ukiachana nae huko unakoenda ubaweza ukakuta unaletewa hadi kitandani kwako.
We Bwe.ge umethibitisha kuwa humpendi mumeo. Utamdhalilishaje kwa kumuwekea mtego?Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Ukiwaza kukutana na Simba sokoni, utakutana naye tu.Hata wanaopima ukimwi kila baada ya miezi mitatu, ipo siku watakipata wanachokitafuta
Talking from experience?Mume anauma nyinyi sikieni tu.
OkeyPole mwaya. Kuna mjinga mmoja alinikera. Ngoja niiweke sawa mwaya.
From my parents, what my mom went through. I felt her painTalking from experience?