Dah.... Sasa ndiyo amtegeshe?Mume anauma nyinyi sikieni tu.
Si kamuandalia mlo mwenyewe?Hata kama utamsamehe mfamishe kuwa hili hukulipenda.
Aamue cha kufanya sasa mbn hajamaliza maamuziAlitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
Simtetei mtoa mada lkn dunia ya Leo wanaume wamejawa na tamaa tu na ndani anaridhishwa sana tu....Badala ya kutumia muda mwingi kumtega mumeo ulitakiwa ujiulize kwa nini atafute mwanamke mwingine wakati wewe upo? Yawezekana chanzo ni wewe mwenyewe. Yawezekana humpatii haki yake sawasawa na mahitaji yake. Hata sasa hujachelewa mwulize kwa nini kaamua kufanya hivyo, atakupa jibu. Kisha anzia hapo kusolve changamoto hiyo.
Ok, ameshajua, then what next..??Alitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
WANATEGWA ndege, ili wakinaswa waliwe,We ulitumwaa umuwekee mtego? Unalialia nini sasa hapa si umepata ulichotaka, si ulitaka umfumanie? Haya umemfumania sasa, usilie lie hapa.
Hapana..siyo kweli..Wanaume sivyo walivyo ila mume wake ndivyo alivyo!!Vumilia tu best,wanaume ndivyo walivyo. Usiache ndoa yako bure,maana hata ukimwacha huyo utakaye mpata naye atakucheat.
HALAFU WANAKUWAGA NA MANENO FLANI HIVI YA KUONDOKEA.... utawasikia...Kukaa hauwezi kuondoka hauwezi"in Irene Mbowe voice...
Fanya maamuzi ya afya!!usiondoke ukataka kurudi tena!!!
Hapo aombe yeye msamaha kwa kumtegea mtego mumewehahahaha safiii amua wewe sasa si ndo umemwekea mtego nae kagoma kuomba msamaha