Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

Ndo ushajua sasa..... Option ni mbili tu
Samehe,maisha yaendelee
Muache uishi maisha yako
Usisahau cheating ni kama mvua it rains everywhere
 
Duuh pole sana mdada, siko kwenye taasisi ya ndoa na naweza nisiwe sahihi jinsi nnavyokushauri lakini ndivyo akili yangu inavonituma.

1. Kama ni kweli wewe ni memba mpya humu endelea kusoma shauri mbalimbali kuhusu mambo ya ndoa humu JF na hasira itapokuisha utajua ufanyaje.

2. Yawezekana mumeo na huyo rafiki yako wamependana siku nyingi zaidi ya hiyo miaka 2 uliyogundua wewe na hapo wanakuchezea akili wewe utoke kwenye ndoa uwaache wale raha ndo maana hata hajigusi kuomba msamaha au kukubembeleza, na ukitishia kuondoka anakwambia sawa tulikosea kuoana.

3. Kwakuwa siko kwenye taasisi ya ndoa na sijui uchungu wa mume au mume anaumaje, akili yangu inaniambiaga ingetokea niko kwenye ndoa na mume haeleweki kila sketi na gauni anataka kuifunua..... wala sijihangaishi naye. Ntampuuza tuu na kuwa busy na mambo yanayonihusu mimi hadi ashtuke kuwa nimejinasua kwake mazima. Akianza kuuliza kulikoni basi namwambia ajirudi ila kupima muhimu.

Na kwa akili yangu ilivo fupi na nnavopenda gegedo kiukweli ningekuwa na bwana tuu wa kunikuna pembeni ( usiige hili utakufa)!!!!!

Laah kuna mambo mengi tuu ya kufanya na kujikuta unakosa hata muda wa kumuuliza uko wapi na uko na nani.... ikifika hapo siku huyo mwanaume anajirudi hehehehee na nnavojua kuringa lazima angenilipia mahari mara ya pili huku nikiwa hapohapo nyumbani kwake.
(Warning: do not apply this to your marriage)

Kasie hajawahi na hana mpango wa kuolewa..... ila ukijua maana ya WOMAN mwanaume hakusumbui hata na utampelekesha vile unataka bila hata ndumba wala limbwata.

Nimeongea meeengiii (siwezagi kufupisha)
Sijui nimeeleweka......

Mwisho: kama bado waipenda ndoa yako kaza buti mwanaume hategwi wala hachungwi... wewe jitahidi umjue mumeo tabia zake; udhaifu wake uko wapi na anapenda vitu gani.... baasi shughulika na hizo button mbili tuu.... kwisha habari yake.

Kama umeichoka ndoa basi maamuzi ni yako usitegemee utaombwa msamaha hapo, pole sana.
 
Ukiwaza kukutana na Simba sokoni, utakutana naye tu.
Halafu unarudia rudia mfululizo miaka sita, wewe kila baada ya miezi mitatu unapima.. JUA UNAYAFANYA YALE YANAYOPELEKEA KUUKWAA....

1. Ina maanda umegegedana bila kondumu
2. Umeshea sindau au visivyotakiwa kushea

Sasa utaupata kwa siyo kwa kurudia kupia, bali kwa kupima baada ya kuukwaa
 
Hilo sio fumanizi ni mpango wako na huyo shogaako kumuaibisha huyo mumeo...
Wakati wa kupanga huo ujinga ungetafuta mahali ulipo kosea mpaka mumeo amtongoze huyo shogaako, pengine bi dada ndo anamtaka...
Linapokuja suala la mume usimuamini mtu, hamna anaependa kuona mume na mke wanaishi kwa amani...
Kabisa mwaya mana mwisho wa siku anaweza akafukuzwa huyo shoga ake ndio akawekwa ndani kwa ajili ya ujinga wake.
 
shemeji naomba lifti namie naenda mjini
Hamna tabu njoo twende
Akiingia kwenye gari mala anakaa siti ya mbele huku anachekacheka
"Mmmh kiti cha Mama fulani hiki ngoja tu leo nikae hapa maana nina shida ya dharula kweli kweli "
Hamna tabu unaweza endelea kukalia viti vyake vyote ni wewe tu
"Mmh shemeji acha utani basi kiti gani kingine amabacho naweza kalia zaidi ya hiki "?
Nakaa kimya huku taratibu naondoa Gari kuelekea mjini
Tukiwa njiani tunaendelea na maada yetu
Naikumbushia kwa kumwambia unataka kujua kiti kingine ambacho unatakiwa ukikalie (nikiwa natabasamu) na kumkazia macho
Anainama chini huku akiguna mmh shemeji nawe acha masihara bana kiti gani hicho
Naendesha mkono mmoja huku mwingine nikimpapasa paja na kusema umekaa pahala sahihi kwa hiyo ni wewe tu
Anapunguza sauti huku akiuondoa mkono wangu mapajani mwake na kusema wewe ujue mi namwogopa sana mkeo
Mkono wangu uliondolewa mapajani mwake unaishia kwenye flaizi ya suruali yangu na bila ajizi naifungua flaizi na kuutoa mhogo ambao unajitokeza nje sawa sawia kisha namwambia
"karibu "
(ngoja nimalizie bia yangu nitaendelea na kisa hiki cha kweli ili nitoe fundisho kwa mfumaniaji)
Week end ndefu hii ngoja ninywe tu hakuna namna

Kama hiyo habari unayosimulia ni ya kweli......laaah umentia hamasa bin nyege ya kutaka kujua iliendeleaje.... mlifika mjini? Mlimalizanaje? Na ulivosimulia usiache hata tukio moja ya yaliyotukia.....

Ila hapo ulipofungua zipu ya suruali mwenzako na mie huku ukanda wa katee ree roo pakatoa unyevunyevu.....

Achia hiyo bia basi umalizie jamani mwenzio nipate ahueni....
 
hayo maigizo ya bashite peleka huko, hapo ni sawa na kujiteka mwenyewe
 
Kama hiyo habari unayosimulia ni ya kweli......laaah umentia hamasa bin nyege ya kutaka kujua iliendeleaje.... mlifika mjini? Mlimalizanaje? Na ulivosimulia usiache hata tukio moja ya yaliyotukia.....

Ila hapo ulipofungua zipu ya suruali mwenzako na mie huku ukanda wa katee ree roo pakatoa unyevunyevu.....

Achia hiyo bia basi umalizie jamani mwenzio nipate ahueni....
Kama nakuona vile unavyopenda ubuyu!!!
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Umemfumania au umemkuta?
Wanaume hawafumaniwi HUKUTWA.
Pole
 
Kama nakuona vile unavyopenda ubuyu!!!

Sio tuu ubuyu.... nataka tukio zima na umeahidi ukimaliza bia utaendelea na hilo ni tukio lililokutokea kweli.... halafu mie sijawahi kupewaga lifti na wanaume, sijui naanzaje kuomba lifti.....

Malizia basi mwenzio bado nna kiu bin shauku bin nyege.. ...

Nakukumbusha ulipoishia.... baada ya kufungua zipu yako halafu bakora ikatoka iko wima bin imara.... nini kiliendelea? Mwenzio nyegeee
 
Pole sana mrembo.
Huo uwekezaji waku umeprove failure. Ni mara mia hiyo hela na muda uliotumia kuandaa tukio ungeenda dukani kumnunulia suruali, angekuona wa maana na pengine ingeboresha ndoa yenu.
 
Hilo sio fumanizi ni mpango wako na huyo shogaako kumuaibisha huyo mumeo...
Wakati wa kupanga huo ujinga ungetafuta mahali ulipo kosea mpaka mumeo amtongoze huyo shogaako, pengine bi dada ndo anamtaka...
Linapokuja suala la mume usimuamini mtu, hamna anaependa kuona mume na mke wanaishi kwa amani...
Yaani Sakayo Sijui nikupe zawadi gani..
Mwanaume wa kawaida anabeep kwanza.... Akipata green light ndo anajiongeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom