Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

HALAFU WANAKUWAGA NA MANENO FLANI HIVI YA KUONDOKEA.... utawasikia...
1. Kwanza hata sijui nimewezaje kuwa na wewe hadi leo
2. Huna lolote mbwa wewe
3. kati ya wanaume na wewe unajihesabu?
4.... blah blah kibao..

Come six months.... yatatafutwa maneno na vikao vya kurudia

Hahahaha...Anataka kukimbia hana break!!
 
Unajua mumeo anamtongoza rafiki yako mwaka wa pili, je uliongea na mumeo? Baada ya kuongea na mumeo nini kilijiri? Sasa umemfumania mumeo break ya kwanza JF! Hakuna watu wazi na katika pande zote za hii ndoa ili kuwapelekea hii kesi wawasuluhishe!?

Usikurupuke ukaharibu ndoa yenu. Tafuta watu wazima ambao wote mnawaheshimu wa pande zote mbili wawasaidie kumaliza hili tatizo.

Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
 
Asifikir kawin, jamaa ndo atahakikisha anamlamba bibie cox mwanaume hakubal kushindwa.
 
Paka mwenye njaa hategwi na samaki,bali anapewa samaki,
Ni paka mroho tu ndiye atakayekula ilihali ameshiba.
Tafakari
 
Its normal thing...me we are the carriers of life...ask god he will tell u
 
Wewe ndio uombe msamaha kwa kushindwa kutekeleza majukumu yako ya kikazi!
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Yaan na msamaha hataki kuomba. Itabid umuache kwa muda ili ajue jinsi ya kuomba msamaha
 
msamehe .mwombee.pepo la uzinzi linamsumbua.zidisha upendo.vumilia
 
Ukisikia machoko ya kike ndo haya. Sasa kitakachofuata ni kwamba mume wako na huyo mwanamke wataanza kuwa na mapenzi motomoto na nikwambie tu umejichimbia Kaburi basi usigome kuingia!
 
Katika kosa ulilofanya ni hilo la kumwekea mtego!! kama unampenda kwa dhati mumeo huwezi kumwekea mtego,We kama mke mwema kama uliona dalili hizo ungemuonya mapema kwamba mume wangu siiependi hiyo tabia uiache ingekuwa vyema sana lakini ishu za kuwekeana mitego ndio mwanzo wa kuvunja ndoa yenu mnaachana halafu mwisho wa siku anakuja kumuoa shoga yako!! halafu tatizo lenu wanawake huwa hamfikirii mbali,Hata ukivunja ndoa wanaume wa kipindi hiki sio kama wa enzi zile utaumiza tu roho yako bure utapata mume mwingine atakuwa na tabia mbaya zaidi kuliko huyu mwingine hivyo uache tabia hizi za mitego ,Vipi kama mumeo angeshtuka achukue simu ya shoga yako aizime na waende sehemu nyingine ingekuwaje?? Kama unaona mumeo anaenda tofauti mkalishe chini mwambie anapoelekea sio na sio kuanza kumuwekea mitego
 
Wewe ni mpumbavu tena mjinga wa kiwango cha lami,

Unafumania kwa kutegemea uombwe msamaha,

Unamuwekea mumeo mtego wakati unajua kabisa wanaume muda wote tuna njaa hatujawahi kushiba

Hata nikitika kula sasa hivi nikitembea hatua kumi nikakutana na chakula nataka kula tena

Acha kuwa tajiri kichwa
 
Sasa ataombaje msamaha wakati ajapiga kitu hata kama ningekuwa mimi sija do halafu niombe msamaha
 
Hata kama utamsamehe mfamishe kuwa hili hukulipenda.
Hakulipenda vipi wakati yeye kampanga rafikiye? Usimuweke mwenzako kwenye kishawishi. Haikuwa busara kutafuta namna nyingine ya kumfahamisha asimtongoze rafikiye?
 
Mwache mwanaume uone kazi ya kumpata mwanaume ilivyo ngumu!.......Kuna rafiki yangu wa kike alipendwa na mwanaume fulani yule mwanaume akapeleka hadi mahari kwao cha kushangaza huyo rafiki yangu akamkataa na kumfukuza kisa eti ananipenda mimi,mimi nimemwambia kuwa ataisoma namba na nimemuhakikishia kuwa hatapata tena mwanaume mwingine wa kumuoa!!
 
Ama kweli akili zako unazijua mwenyewe hadi umeamua kutengeneza fumanizi duuh.

Hapo akili kichwani mwako mana ukijifanya cha ugomvi mwisho wa siku mumeo atahamia kwa rafiki yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom