Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

Alitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
Si busara kuandaa mtego wa namna hiyo kwa mwanaume rijali.Kwa lugha nyingine huyo mke amemuingiza kwenye majaribu mumewe ili amukamate!Ukisikia kubomoa chako kwa mikono yako mwenyewe ndio hivi.
 
wewe dada hujifahamu, miaka miwili, muda huo wote unafahamu, leo unamtega, nina uhakika ni rafiki yako ndiye aliyekuambia tumtege. na unafahamu ni kwa nini ? huyu rafiki yako amempa papuchi muda mrefu tu, sasa amenogewa anataka amiliki muhogo. ukijichanganya tu !! yeye muda mfupi ndie atakukaribisha kwenye chumba chako mwenyewe !!
 
Lusekelo (mzee wa upako) anasema huyo ni mke mwenzako, mwanaume hafumaniwi wewe
 
Acha Upumbavu Wewe..
Umemdhalilisha Mmeo Lakini Zaidi umejidhalilisha Wewe..

MIANAMKE MINGINE SIJUI WANAUME WENZANGU WANAOA KWA KULAZIMISHWA..

hata wewe ukiwekewa mtego hauponi..
Mme wako akimtafuta Rafiki yake mwenye pesa akakutongoza tena kwa miezi mitatu tu achana na yeye kwa miaka miwili..Unakubali..

Wewe ni mwanamke mpumbavu hupaswi kuolewa..inaelekea unaishi Kishangingi..

Silly,Stupid..
 
Mwanaume hakamatwi ugoni bali hufumaniwa tu ndo maana hawezi omba msamaha.
Akiomba msamaha toa mrejesho.
 
Wanaume vinara wa mitego,
Akitega mwanamke amekosea.
Hongera dada kwa kusimamia ndoa yako.
Mtaarifu huyo ambaye hataki kuomba msamaha kuwa utaendelea kumfuatilia akiendelea chagua cha kufanya mapema kabla ya kuweka mtego.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom