Nimemfumania mume wangu live

Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Hata wanaopima ukimwi kila baada ya miezi mitatu, ipo siku watakipata wanachokitafuta
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Kwa hiyo haukuandaa hatua ambazo ungemchukulia ikiwa utamkamata?? Basi msamehe tu then jipange utafanya nini ikiwa utamkamata tena
 
Wanawake wapumbavu huwa wanawawekea mitego ya hivo waume zao.
Kuna jamaa yangu aliwekewa mtego huo na mkewe na akagundua kuwa kategewa.
Bahati mbaya na huyo rafiki alikuwa anamtamani huyo jamaa.
Siku ya tukio jamaa alipofika eneo la miadi akamwita huyo rafiki kwenye gari.
Akamnyang'anya simu na kusepa naye.
Mke akaishia kulia tu na manyoya.

Dada, usithubutu kumtega mumeo na rafiki yako.
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Sasa wewe km unamtega afanyeje? Acheni kuwafanyia waume zenu majaribio
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Tulia ulete habari inayoeleweka
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Badala ya kutumia muda mwingi kumtega mumeo ulitakiwa ujiulize kwa nini atafute mwanamke mwingine wakati wewe upo? Yawezekana chanzo ni wewe mwenyewe. Yawezekana humpatii haki yake sawasawa na mahitaji yake. Hata sasa hujachelewa mwulize kwa nini kaamua kufanya hivyo, atakupa jibu. Kisha anzia hapo kusolve changamoto hiyo.
 
Pole

Wewe umekosea hiyo miaka yote rafiki yako anatongozwa na wewe unajua halafu leo unaamua kumuwekea mtego sasa si upimbi huo?

Madai ya mumeo ni kweli kwasababu hadi umemuwekea mtego inamaana ulimwambia huyo rafiki yako ajirahisishe. Mumeo ndio akajua kutongozwa kwenyewe huko

Hapo unatakiwa upunguze hasira. Kwasababu ni mume unaweza ita wazee muongee. Au kama unaweza ongea naye mkanye asirudie
 
Back
Top Bottom