miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kwa hiyo unataka kusema Mungu ni mwanaume?"Usimjaribu Bwana Mungu wako"
Uliwahi kujiuliza kwa nini Mungu aliitoa hii Amri.
kwa hiyo unataka kusema Mungu ni mwanaume?"Usimjaribu Bwana Mungu wako"
Uliwahi kujiuliza kwa nini Mungu aliitoa hii Amri.
Usipende kuchanganya LughaUsipende kuchanganya lugha sema MUBASHARA na sio LIVE .
Ulipokuwa unaweka mtego nini hasa lilikuwa lengo lako endapo mtego ungekamata?!!Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Basi sawa hata mimi nina marafiki wengi wa kike na siwezi kusema kwamba ninaweza kuoa wote ndo maana hata huyo rafiki yangu huyo namuombea kwa Mungu apate mume ila yeye anachagua sana na kuning'ang'ania mimi ambae nataka tubakie tu na ufafiki wetu wa kawaidawengi sana pamoja na wewe
Mlazimishe amuowe awe mke wa pili... Itakuwa poa sana.... kwanza rafiki yako... Hamna kufanyiana vitimbi... Full kujiachia... Ha ha ha ha.Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
vunja nae urafikiBasi sawa hata mimi nina marafiki wengi wa kike na siwezi kusema kwamba ninaweza kuoa wote ndo maana hata huyo rafiki yangu huyo namuombea kwa Mungu apate mume ila yeye anachagua sana na kuning'ang'ania mimi ambae nataka tubakie tu na ufafiki wetu wa kawaida
kwa hiyo unataka kusema Mungu ni mwanaume?
sema me ukiishiwa naweza fikiria kukujaribuHuo ni mfano Mummy.
Mimi mpenzi wangu nilimuambia asije akanijaribu kwa lolote maana atakachokipata itakuwa hasara yake kama hakujiandaa.
Na pia mimi sijawahi kufikiria kumjaribu mtu niliyekuwa naye kwenye relationship.
Kwa ujumla ni 10% wanaoshinda majaribu ya namna hii. Ukijua hili huwezi kuthubutu kumjaribu mpenzi wako ambaye pengine bado unamuhitaji
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Nina marafiki wa kike wengi sana wanaonipenda,nitavunja urafiki na wangapi mkuu?vunja nae urafiki

Hakulipenda vipi wakati yeye ndio injinia wa kumfumanisha mwenzie!?Hata kama utamsamehe mfamishe kuwa hili hukulipenda.
Hahaaa! Ndio ameshaupata hapo amebaki kuomba ushauriWatu mnapenda kujitafutia magonjwa ya moyo
Alitafuta mwenyewe sahivi anaomba ushauri wa nini sasaHahaaa! Ndio ameshaupata hapo amebaki kuomba ushauri

apambane na hali yake
Ila saa ingine wanawake akili zetu tunazijua wenyewe aiseeAlitafuta mwenyewe sahivi anaomba ushauri wa nini sasaapambane na hali yake
![]()
Unadhani wanapotuambia zinatutosha wenyewe wanakoseaIla saa ingine wanawake akili zetu tunazijua wenyewe aisee

wakati mwingine kweli kabisaaa. Sasa hapo kayatafuta mwenyewe sahivi anajibaraguza kuomba ushauri kwani hakujua outcomes


Yaani ndio ile kama uko nae karibu unaweza hata ukamzaba kibao mana huo ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu.Unadhani wanapotuambia zinatutosha wenyewe wanakoseawakati mwingine kweli kabisaaa. Sasa hapo kayatafuta mwenyewe sahivi anajibaraguza kuomba ushauri kwani hakujua outcomes
![]()
Yani ujinga wa kiwango cha lamiiYaani ndio ile kama uko nae karibu unaweza hata ukamzaba kibao mana huo ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu.
Ila hapo ndio akome.
