Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

babamkwe wa mkeo..that means babako, right?

Unauliza ufanyeje? mfuate babako mwambie next time akitaka kufanya hivyo asimkunje sana mkeo..mdanganye mbavu za mkeo zina hitilafu so anaweza kumuumiza...sugget next time watumie conventional style

Seriously??
 
Aiseee!!! Wazee wengine nuksi tu...au alikuwa demu wake kabla hujamuoa? kwani yeye ndiye aliyekutafutia huyo mke? je, unaishi kwa baba yako au? hawa wazee kuonja matundu maalumu kwa ajili ya vijana wao ni ujinga sana...

Mzee kazingua sio kidogo
 
Hiyo kitu anatokea sana kwenye jamii ila inazikwa kimya kimya kuepuka aibu.
Ni jambo rahisi sana kwa baba mzazi kutembea na binti yake au babu kutembea na mjukuu wake wa damu na hata baba mkwe kutembea na mke wa mtoto wake, hesabu zikikaa vibaya tu.
Njia rahisi kuepusha hayo ni kuchukua tahadhari kila wakati na kila mara.
 
Seriously??

A serious guy when faced with such a problem decides what to do within one minute of realizing what is going on between the two..and that decision is marriage termination

His very act of asking for some advice means that he believes there are a multiple of solutions to such an unexplainable misconduct..so lets dance to his tune us give him some alternatives!!!!!
 
Hata kama utaona inafaa kuachana nae, jitahidi kujichunguza /kujitathimini. Huenda wewe ni tatizo pia na ndio chazo cha hicho Kilichotokea.

Hata kama jamaa ana matatizo ndo atoe papuchi kwa baba mkwe wake? ameshindwa kwenda nje zaidi?
 
A serious guy when faced with such a problem decides what to do within one minute of realizing what is going on between the two..and that decision is marriage termination

His very act of asking for some advice means that he believes there are a multiple of solutions to such an unexplainable misconduct..so lets dance to his tune us give him some alternatives!!!!!

But i don't see if your devise suits anywhere or helpfull.Try to put yourself in his shoes and then take your comment as an advice,will u be able to face your own father and tell him about broken ribs of your wife?

Will u be able to tell him all the things that u had adviced the real victim of the situation??
 
No, I will just divorce the bitch, find another wife and keep her away from my father..no advice seeking
 
Una uhakika kama huyo baba Mkwe wake ni baba yako?Labda na wewe ni zao la usaliti huko nyuma.Muulize mama yako.
 
Kama ametumia mke wako na we tembea na mke wake,, si ameamua mbwai bwana.. kama vipi, vipi tu...

Hapana mkuu, kumbuka mke wake ni mama yake mzazi, ni laana iliyopitiliza.
Ushauri wangu jamaa amfuate mama mkwe wake amle, ili mkewe imuume halafu baada ya hapo kila mtu kivyakeeeeeeee
 
Hayo ndo madhara ya kuishi karibu na wazazi.

Ukishaooa hta km baba yako mzazi au baba mkwe wako akikupa kiwanja kilichokaribu na makazi yake ni bora hata kama utakipokea jenga nyumba LAKINI Usiishi hapo, Ishi mbali nao
 
Duh kweli unamshauri hivi...haujui mke wa baba mkwe wa mke wake ni nani?

Mtakiyovwengine muwe waangalifu yasiwarudie

Kuna watu wengine ushauri wao utadhani labda humu duniani wamekuja kwa njia ya kutapikwa au kucheuliwa
 
Ebu toa Historia kidogo ya Familia yako,Mna watoto?mmekaa na mkeo kwa Muda gani? na walikuta katika mazingira gani? nyumbani kwako au mnaishi kwa baba yako? na Je Mama yako yupo na Bado wapo na Baba yako?

Inawezekana ukawa unatatizo la kuzaa sasa mzee ameamua akusaidie ili ili mtoto awe ndani ya damu yenu.
 
Hujatueleza kwa kirefu kama umezaa na huyo mkeo. Inawezekana walikuwa wanakusaidia kutafuta mtoto baada ya kuona huna uwezo wa kumzalisha mkeo... Kwa sasa siwezi kukupa ushauri...
 
Madhara ya chips mayai ndiyo maana wazee wa ugali wa muhogo na kambale wana take advantage.. Turudi kwenye organic foods/vyakula vya asili Ndiyo ndoa zetu zitakuwa salama. Otherwise nikupe pole.
 
Back
Top Bottom