Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

itakuwa mikono ilitetemeka kwa hasira mpaka ikashindwa kuandika "baba yangu mzazi"
Amegoma kumwita baba, amegoma kuamini baba yake anaweza akawa hana mapenzi naye kiasi hiki, amegoma kusadiki kuwa baba yake si mwanadamu bali mnyama mwenye roho ya shetani, hakika huyu ni baba mkwe wa mkewe asiye na mahusiano naye kabisa.
 
Baba ako anakusaidia kz labda kaona ww ni dhooooofu hali
 
Najuaga ni movie kumbe kweli vinatokea pole sana
 
Sikiliza nyimbo ya ambwene mwasongw nguvu ya msamaha ukiwa na amani,yote aliyoyaimba ndo tukio lilo kupata ww..nguvu ya imani itaondoa msamaha
 
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya uzinzi na baba mkwe wake. Kwa kweli nilishtushwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu.

Naombeni ushauri
Kama ulimwachia baba ako akulishie na kukulelea mkeo unatarajia nini? Kampenda kama wewe ulivyompenda mpk ukampelekea.
 
Back
Top Bottom