Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

AMOS JANUARY

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya uzinzi na baba mkwe wake. Kwa kweli nilishtushwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu.

Naombeni ushauri
 
Umegundua mwenyewe bila kuhadithiwa kuwa choo ulichoingia sio chako, unasubiri nini? umegundua kuwa umepotea njia, unasubiria nini? umegundua kuwa umeoa kwenye familia ya Alshabab unasubiria nini? usisubiri mkeo akuletee magonjwa,

usisubiri baba mkwe akutongoze ndo ujue hafai...Chukua hatua, chapa lapa!! rejea sensa iliyopita uone wanawake walivyo wengi kwenye hii nchi, toa idadi ya dada zako na ndugu zako, waliobaki wote unaruhusiwa kuoa.
 
Baba yako mpo naye hapo kwako, au huwa anakuja tu na kuondoka siku moja moja?
 
Hata kama utaona inafaa kuachana nae, jitahidi kujichunguza /kujitathimini. Huenda wewe ni tatizo pia na ndio chazo cha hicho Kilichotokea.
 
Kama ni kweli, pole sana.. Jipe muda wa tafakari ukiwa mbali nao kwa muda.
^^
 
ni aibu kubwa sana kama utamaduni wenu unaruhusu hilo ni sawa tu.
 
Nasikia kuna baadhi ya tamaduni zinaruhusu ktk mazingira flani. Though i cant justfy this statement.

Pole sana, chakufanya tafta wazee waongee na mzee wako kwamba kitendo alichokifanya si chakiungwana, ni cha laana na cha kudhalilisha.

Hivyo mwambie umeamua kumwachia kwa amani na heshima yako ibaki palepale
 
Umegundua mwenyewe bila kuhadithiwa kuwa choo ulichoingia sio chako, unasubiri nini? umegundua kuwa umepotea njia, unasubiria nini? umegundua kuwa umeoa kwenye familia ya Alshabab unasubiria nini?

usisubiri mkeo akuletee magonjwa, usisubiri baba mkwe akutongoze ndo ujue hafai...Chukua hatua, chapa lapa!! rejea sensa iliyopita uone wanawake walivyo wengi kwenye hii nchi, toa idadi ya dada zako na ndugu zako, waliobaki wote unaruhusiwa kuoa.

Yani wewe du
 
Pole sana, umepata pigo sio dogo, ni bora hata angekua mtu mwingine sio baba yako. Pata nafasi kwanza ya kuwa kimya na utulie na kutafakari, waone wazee wenye hekima wakushauri, au kiongozi wako wako wa kanisa au msikiti. Zeni rudi kaa na mkeo muongee, badae na baba, ila utajua vizuri nini cha kufanya baada ya kupata mashauri kwa hao watu.

Usiombe yakukute sikia tu.
 
babamkwe wa mkeo..that means babako, right?

Unauliza ufanyeje? mfuate babako mwambie next time akitaka kufanya hivyo asimkunje sana mkeo..mdanganye mbavu za mkeo zina hitilafu so anaweza kumuumiza...sugget next time watumie conventional style
 
Daahh babako mzazi....tuliza akili kwanza unaweza mtafuta mzee wa familia ambaye ana hekima ujaribu kupata ushauri toka kwake
 
Pole sana .... huyo baba ni hafai wala huyo mwanamke hafai wote wamekutana wahun ,,, hy ding had kwa mtoto wake,,,,duuuuuuuu!!!!!!!!!!!!! kama mimba kampa huyo dogo atamwita babu AU baba? na wewe atakuiteje... kama una watoto wachukue chapa mwendo mwache mkeo na huy baba waendelee ila usiondke hv hv watie KIKAO kwanza
 
Aiseee!!! Wazee wengine nuksi tu...au alikuwa demu wake kabla hujamuoa? kwani yeye ndiye aliyekutafutia huyo mke? je, unaishi kwa baba yako au? hawa wazee kuonja matundu maalumu kwa ajili ya vijana wao ni ujinga sana...
 
Back
Top Bottom