Usiogope hayo mbona ya kawaida tu. Wazee siku hizi si wazee bali vijamaa tu. Huyo hajaanza leo, kaanza siku nyingi tu mbona. Weye ni mtoto wa kiume wa ngapi? Kama una kaka zako nao wameoa basi jua kuwa nao wamefanyiwa hayo hayo ka weye.
Pili; kama bado unakaa na wazazi wako, hiyo umejitakia mwenyewe haswa kama huyo mzee ndiye mlishi wa familia. Anaona umemletea mzigo hivyo jasho lake lisiliwe bure.
Kuna mengi sana uliyo pungua weye kwa mkeo. Haswa kifedha, mkeo akaona hiyo bank iliyo karibu aitumie.