Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

ndo ushaonyeshwa kua sio mke huyo xo piga chek yako
 
Acha kula chips mayai na cocacola,leo baba mkwe wake,kesho baba mkwe wako.we ulisha wahi kumuona huyo baba mkwe wa mkeo anakula zege?!
Kula dona na matembele ili ufalme wako urudi.
Mademu wa siku hizi wanapenda mikito ya nguvu kaka!!!!
Fatilia kujua msosi anaokula huyo baba mkwe wa shemeji kisha na wewe iga!!!

Wasalimie.
 
Usimwache kwa heshima ya dingi ha ha ha! muulizeni anampenda nani..
 
dingi amekanyaga waya sipika zinakoroma tu duh, hama nenda kaishi mbali na mzee wako siku akija kukutembelewa arudi siku hiyo hiyo asilale, au nawe kata network si yeye kakanyaga nyaya.
 
Jifanye hujaona maisha yaendelee inaonekana humtoshelezi hivyo aende nje ya fensi akaamua hivyo
 
usimfanye tena huyo nimama yako.huwezi badili ukweli kua ni baba yako mzazi ndie aliefanya.kama ni kristo kashtaki kanisani na umuache kwa heshima tu.usifunue uchi wababa yako kwakumlala uyo mwanamle
 
Duh man uyo n baba ako mzaz au na uyo mke n nyumba ndogo au kubwa uu ni mchemxho na co mchepuko 2liza akili man
 
Ni ya kweli haya mkuu? Huyo baba mkwe wa mke wako ni baba yako mzazi? Pole sana.
 
babamkwe wa mkeo..that means babako, right?

Unauliza ufanyeje? mfuate babako mwambie next time akitaka kufanya hivyo asimkunje sana mkeo..mdanganye mbavu za mkeo zina hitilafu so anaweza kumuumiza...sugget next time watumie conventional style
Kwa ushauri huu, wewe kama ni mwangun nahesabu nimekula hasara
 
Kwa ushauri huu, wewe kama ni mwangun nahesabu nimekula hasara

sawa sawa kabisa, nakubali mkuu...mi mwenyewe kama we ni mzazi wangu ukipata tatizo kama hili ukaomba ushauri kwa mtu hata kama ni mmoja tu..nakubeba mzima mzima tunaenda kupima DNA..ikigunduilka we ni mzazi wangu kibaiolojia kweli basi najiuzulu haya maisha ya duniani
 
K tamu jamani khah, baba kashindwa kujizuia kabisa?!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kama ametumia mke wako na we tembea na mke wake,, si ameamua mbwai bwana.. kama vipi, vipi tu...
 
Back
Top Bottom