Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

​inakera sana kuona mwanaume kamili kuona matukio kama hayo afu anakuja kuomba ushauri kwenye mitandao.............mleta mada umeniudhi

Kama ni tukio la kweli basi anatafuta pa kupunguzia pressure.

Unaikumbuka ile hadithi ya 'mfalme ana pembe?'
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kumuamini mleta mada...

Usiniulize kwa nini bali historia ya ufekero na uongo uongo wake inamuhukumu...
 
Huwa nasikia hii habari lakini sina uhakika kama ni story za vijiweni au la. Inasemekana hutokea kwa vijana wanaoacha wake zao migombani wakati wao wapo mijini kutafuta pesa. Inawezekana ilikuwa mila ya zamani baadhi ya maeneo uchagani.
Mwenye uhakika atujuze.

Kuna jamaa mmoja ni Mchaga ila sijajua ni Mchaga wa wapi yule...

Baada ya kumuoa mkewe akampeleka kwao huko akiwa na mtoto mmoja halafu yeye akarudi mjini...

Baada ya miaka kadhaa kurudi kijijini, kakuta mkewe ana watoto watatu...

Jamaa hata hakupiga kelele, akachukua mke na watoto na kurudi nao mjini...

Hili ni simulizi ya kweli, ningeandika jina la ukoo wa jamaa lakini asije akapita huku akajua jamaa zake tunamchomea mitandaoni...
 
mwachie tu, hamna jinsi hapo, kama ningekuwa mimi lakini
 
Pengine nyie ni wachagga;
Pole sana.
Sijui kama nakumbuka vizuri, wanasema ukikuta hivyo unatakiwa ufunge mdomo;
Sijui vizuri Asprin njoo useme, miss chagga?
Bora mkeo azae na baba yako kuliko azae na mtu baki..... at least utakuwa unamlea mwanao aliye mdogo wako pia. :welcome:
 
Yapo haya duniani
Lakini hata hivyo kuna mazingira yake ambayo huyafanya yakawa kweli
Mfano wewe ni mtoto wa mama na baba yako ameamua kukuozesha mwanamke ili walau ubadilike tabia yaani kula kulala

Hata hivyo bado mtoto wa kiume huchangamki na bado unaishi na wazazi wako na matokeo yake baba yako ndo anawalisha nyote yaani nyumba nzima ikiwa pamoja na wajukuu zake wawili ambao umewazaa na mkeo hapo kwa baba yako

Mkeo kila akikuangalia anaona kabisa huna hata habari na familia yako kila kitu ukiombwa jibu lako ni rahisi tu "ngoja dear nitamwambia baba anipe hela"
Baba yako nae ni mkwale kila wakati anambinyia jicho mkwewe
Huku na huko kwa nini mwanamke(mkeo) asilegeze masharti kwa mtoa hela?

USHAURI WANGU

Umeshakuwa mtu mzima sasa hebu jitambue tafuta vya kwako ili uishi kwa amani
 
Tupia basi hata kapicha niamini maana rahatupu imefungwa....!!
 
Duuu🙆 pole sana lakini usikurupuke kuchukua maamuzi, kama unaishi nao basi nenda japo mji Mwengine ukatafakari, upumzishe kichwa....
 
Piga ngumi huyo baba adi akome..Ikiwezekana fila kabisa..uyo dem tupa kulee
 
Hata kama utaona inafaa kuachana nae, jitahidi kujichunguza /kujitathimini. Huenda wewe ni tatizo pia na ndio chazo cha hicho Kilichotokea.

Hata kama yy ndio tatizo,lakin kwann atembee na baba mkwe????
 
aiseee kwa mila zetu si wengine kutembea au kuchoneka alipochoneka baba yako nikujitafutia matatizo ni sawasawa na kutembea na mamayako mzazi aiseee hapo toka ndukiiiii.

Pengine mkewe kaambiwa na mganga afanye hivyo.Jamaa inabidi amchunguze hiyo mwanamke pengine ni mlozi
 
Back
Top Bottom