Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

Baba yako ni mshenzi na mke wako ni mshenzi zaidi
Hivi mama yako yupo kweli?
 
Mimi Kusema Kweli Sijakuelewa Uludi Unieliweshe Vizuri, Kichwa Cha Habali Baba Mkwe Anatembea Na Mke Wangu, Ndani Anatembea Na Babaake Mkwe, Hujaelewesha Ni Mkwe Kivipi?
 
Au umeshindwa kumzalisha mkeo?,mzee akaamua aokoe jahazi?All in all kafanya kosa kubwa.
 
Kama ni mimi haya matatu ndo ningefanya

-Mke si ndugu yako huyo, chapa lapa
-Baba nae nabalidili hata ukoo, self declared orphan
-Beba watoto wako uwalee mwenyewe.
 
A serious guy when faced with such a problem decides what to do within one minute of realizing what is going on between the two..and that decision is marriage termination

His very act of asking for some advice means that he believes there are a multiple of solutions to such an unexplainable misconduct..so lets dance to his tune us give him some alternatives!!!!!
VERY GOOD URGUMENT, Inkhubu!
 
Last edited by a moderator:
Hebu mkuu huyo ni mkeo au mchumba ambaye hajulikani nyumbani? Kama hajulikani may be ni mchepuko wa baba yako, na may be m/ke alikuwa hajui kama huyo mzee ndo babako?
 
Pole sana, umepata pigo sio dogo, ni bora hata angekua mtu mwingine sio baba yako. Pata nafasi kwanza ya kuwa kimya na utulie na kutafakari, waone wazee wenye hekima wakushauri, au kiongozi wako wako wa kanisa au msikiti. Zeni rudi kaa na mkeo muongee, badae na baba, ila utajua vizuri nini cha kufanya baada ya kupata mashauri kwa hao watu.

Usiombe yakukute sikia tu.

Hilo sio swala la kuendekeza kama umehakikisha mpe talaka kimya kimya.ukiweka vikao vingi ni kujidhalilisha wewe na wazazi wako.uliona au unasikia tu?kumbuka hata vitabu vya dini vinaruhusu talaka kwa uzinzi.
 
Sawa lakini kumbuka msamaha upo na tunapaswa kusamehe hata kama kosa lina uzito kiasi gani, maadam tu muhusika amekiri kosa, hivyo kama mkewe na baba wameomba msamaha anapaswa kusamehe maana haya ni maisha tu hujui kesho itakaa vipi. Anaweza mpa talaka akabaki na majuto until the end of his life.

Neno MSAMAHA LINA NGUVU SANA, hivyo kama watamuomba msamaha, awasamehe tu ili awe na amani forever. Asiposamehe itamgharimu
 
kweli yamekukuta, hata kuyaeleza hapa umekuwa jasiri.....Muombe Mungu akuepushe na huo upepo. Tafakari kwa umakini na busara ya hali ya juu sana. Ila usigeuke nyuma, baba yako atabaki kuwa baba ila kaa nae mbali sana Mungu atamshughulikia....huyo mtu mke malizana nae.... mlifanikiwa kuzaa?
 
Sawa lakini kumbuka msamaha upo na tunapaswa kusamehe hata kama kosa lina uzito kiasi gani, maadam tu muhusika amekiri kosa, hivyo kama mkewe na baba wameomba msamaha anapaswa kusamehe maana haya ni maisha tu hujui kesho itakaa vipi. Anaweza mpa talaka akabaki na majuto until the end of his life.

Neno MSAMAHA LINA NGUVU SANA, hivyo kama watamuomba msamaha, awasamehe tu ili awe na amani forever. Asiposamehe itamgharimu

Muombe Mungu yasikukute.......baba yako mzazi? msamaha ulitukuka ni kila mmoja na njia yake.....kimya kimya.
 
hapana mkuu, kumbuka mke wake ni mama yake mzazi, ni laana iliyopitiliza.
Ushauri wangu jamaa amfuate mama mkwe wake amle, ili mkewe imuume halafu baada ya hapo kila mtu kivyakeeeeeeee

kamwe asifanye hivyo!
 
Muombe Mungu yasikukute.......baba yako mzazi? msamaha ulitukuka ni kila mmoja na njia yake.....kimya kimya.

K! embu tuwaachie wahusika maana wao ndio walipendana na mazingira yote yaliyowazunguka tangu hapo hadi tukio hilo wao ndio wanayajua. Ushauri wamepewa watachuja na kuchanganya na za kwao.
 
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya usinzi na baba mkwe wake. Kwakweli nilishitshwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu.

Naombeni ushauri
Pole sana mimi nimtaalam wa masuala ya Ndoa na Mahusiano ila kabla sijakushauri hebu niambie ulipomuona ulifanya nini?
 
Back
Top Bottom