Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,155
Sio rahisi kuamini nashangaa, sina amani maishani mwangu baada ya kukuta mke wangu anafanya usinzi na baba mkwe wake. Kwakweli nilishitshwa kuona hali kama hii, hakika ndio muda wa kiama huu.
Naombeni ushauri
kwa wanyarwanda ni kitu cha kawaida ili ukoo usipotee, au na wewe unatoka pande hizo?