Mke wako na baba mkwe wake? Khaa..yani mke wako na baba yako??? Daah!
babamkwe wa mkeo..that means babako, right?
Unauliza ufanyeje? mfuate babako mwambie next time akitaka kufanya hivyo asimkunje sana mkeo..mdanganye mbavu za mkeo zina hitilafu so anaweza kumuumiza...sugget next time watumie conventional style
aiseee kwa mila zetu si wengine kutembea au kuchoneka alipochoneka baba yako nikujitafutia matatizo ni sawasawa na kutembea na mamayako mzazi aiseee hapo toka ndukiiiii.
Kwa wachaga hiyo kawaida!
Kwa wachaga hiyo kawaida!
Jaribu kuchunguza kabla hujaoa baba AKO ALIKUWA anatoka nae
Nonsense!
Najipa moyo ipo cku nitafarijika