Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

Hujasoma biblia ukaielewa ndomana unajiropokea tu, Soma biblia maana ndochanzo cha maalifa vitu vyote unavyoona duniani vinagunduliwa simu, intanet, ndege, satellite vyote vimeandikwa na maarifa yote wanachukua kwenye vitabu vya dini
Unaona Mlivyopumbazwa na Akili zenu zilivyoharibika. Wachina Wanatengeneza Simu naHawaijui Hata Hiyo Biblia yako
 
Unaona Mlivyopumbazwa na Akili zenu zilivyoharibika. Wachina Wanatengeneza Simu naHawaijui Hata Hiyo Biblia yako
Nimekwambia kwenye vitabu vya dini sio biblia peke ake maana ake hata wao wanachukua maarifa kwenye dini zao au wanasoma vitabu vya dini yoyote ili kuiba maarifa ya ugunduzi
 
Kuabudu mti wewe unaona akili ipo sawasawa. Unaabudu kitu ambacho naweza kwenda kukata na Shoka likawa kuni ya kupikia
Heri ya mti unaonekana, maana unaweza kumpa kivuli, matunda, dawa, kuni, mbao, nk...
Kuliko wale waabudio Madubwana ya kujitengenezea Vichwani mwao, na kuyapa Sifa za Binadamu zilizokwezwa maradufu.

Hao wanahitaji msaada zaidi.
 
Ww toka umezira kuendeleza Ile story yako nakuonaga huna akili timamu[emoji706][emoji706]
 
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.

Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikiri labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.

Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!

Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.

Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Mbona kidumu cha maji kimejitokeza ghafla sana?
 
Natamani kila mwafrika asome hii comment kwa utulivu kabisa nahisi hatotoka kapa..
 
Heri ya mti unaonekana, maana unaweza kumpa kivuli, matunda, dawa, kuni, mbao, nk...
Kuliko wale waabudio Madubwana ya kujitengenezea Vichwani mwao, na kuyapa Sifa za Binadamu zilizokwezwa maradufu.

Hao wanahitaji msaada zaidi.
Nikuache ulivyo
 
Nimekwambia kwenye vitabu vya dini sio biblia peke ake maana ake hata wao wanachukua maarifa kwenye dini zao au wanasoma vitabu vya dini yoyote ili kuiba maarifa ya ugunduzi
Hebu Lete Ushahidi kwamba Ugunduzi wa Simu unatokana na Vitabu vya Dini? Au msitari wowote wa Vitabu vya Dini yeyote ya Duniani inayofafanua Ugunduzi wa Simu ?

Ugunduzi wa Kitu chochote kile duniani kinatokana na AKILI siyo Dini Yeyote ile.

Waliogundua Moto,Zana za Mawe,Chuma hawakuwa na Dini Yeyote ile Iliyokuwepo Duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom