Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
- Thread starter
- #141
Huna akiliHalafu ukute huyo Broo ndo anaimani ya kweli,siyo wewe hadi upigiwe kengele ndo ukasali,Mungu wa wote siyo wa Misikiti na Kanisani pekee
Huna akiliHalafu ukute huyo Broo ndo anaimani ya kweli,siyo wewe hadi upigiwe kengele ndo ukasali,Mungu wa wote siyo wa Misikiti na Kanisani pekee
Anafanya kwa ubayaUliiona hiyo mizimu????
Kama hukuiona, nakushauri punguza mihemko fatilia taratibu, anafanya nn na kwann anafanya hivyo, je anafanya kwa ubaya au kwania njema?
KUMBE HUELEWEKIUngeleta Maneno na Sala zake Alizokuwa anasema. Tujue alikuwa anaabudu au alikuwa anasema nini
Maiti Huwa ni Maji yaliyooshewa Mfu baada ya Kufa.
Sinimekwambia nilikuwa shambaUngana tu na Bro maana sijaona ustaarabu wako, umri huo bado unakunya vichakani!!
Mkuu umeongea kinagaubaga hongeraMaandiko yote matakatifu (Quran na Biblia) yanaagiza kumwabudu Mungu peke yake na sio kingine.
Ipo miungu mingine wanadamu (wazungu, sisi waafrika, waarabu, wachina japanesse etc) wamekuwa wakiiabudu miaka na miaka.
Binadamu aliumbwa kwa namna ya kuhitaji muunganiko wa nguvu kutoka rohoni utakao msapoti aweze kukamilisha au kufanya mambo yake mfano biashara, kilimo, siasa, viwanda etc.
Mizimu ni roho za kuzimu means hazitoki kwa Mungu. Mizimu ni moja ya spritual help and saport ambayo wanadamu wamekuwa wakiitumia kukafanikisha mambo yao.
Yes and is true watu wanafanikiwa sana kutokana na kuabudu mizimu. Kuna koo au mataifa yanafanya vizuri mno when it comes to wealth, education, bussness and politics achievement.
Mnaweza kuwa mna struggle ku achieve jambo au mna compete kupata kitu kilekile na mwingine lakn mwenzako anakupiga mbonge la gape. Kumbe behind the scene kuna spritual help ina mpush.
Kama nilivyosema, kuabudu mizimu ni moja ya njia za kutafuta usaidizi wa nguvu za rohoni. Yes utazipata lakini kuna price you must pay and one of them ni kuiabudu mizimu hiyo na ndani ya ibaada hizo hujumuisha utaoji kafara ( wanyama, mazao na binadamu). Lazima utoe kitu in exchange. Nipe nikupe.
Hatari nyingine ya kuabudu mizimu ni pale inapokiuka masharti. Kuna utaratibu utatakiwa kuufata maisha yako yote. The moment unageuka kuna revenge za balaa huibuka na hizi huwakumba hata waliokuwa hawajihusishi as long as are ralated and connected na huo ukoo.
Hatari kubwa zaidi ya zote ni kwamba humwabudu Mungu wa kweli anayepaswa kuabudiwa.
Mtoa mada upo sahihi kumzuia ndugu yako dhidi ya hicho anachokifanya. Lakini pia unatakiwa ujue ni njia gani sahihi ya kumtoa huko.
Samahani sikuweza kumpiga picha angeniona.
Kweli mnaweza mkawa Familia moja mkidhani ni watu wa dini lakini kuna mmoja yupo tofauti. Ni kaka etu wa kwanza kwenye Familia nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi hiki nipo kijijini, nilipotoka kanisani ikabidi nichukue baiskel kwenda shambani lakini nilipofika shambani sikumkuta. Nikafikiri labda yupo ndani ya shamba ngoja nimuangalie.
Nilipoona mzigo nyuma umenilemea niliingia polini na kidumu cha maji kwenda kuushusha, lahaulaah!
Sikuamini macho yangu ni kaka angu kabisa anainama na kuinuka huku akisujudu mti. Nikaona sio kweli ikabidi nijifiche ila nilichokishuhudia nikajua kumbe ndomambo yake sisi jumapil kila tukienda kanisani yeye huwa anasema naenda shambani kumbe ana ibada zake za kipumbavu.
Sasa najipanga namna yakuliweka wazi hili swala mbele ya baba na mama ilikusudi tusije Pata laana kizazi na kizazi mbele ya Mwenyezi Mungu
Kwa hiyo shamba ndo mnakunya vichakani, hebu assume wenye mashamba wote wangefanya kama wewe hali ingekuwaje? Hv unajua magonjwa mfano Typhoid yanaevyoea? Simple kama ivo wewe kuacha kinyesi mvua ikanyesha uchaf wako kasombwa na maji maji hayo yakatumiwa na watu..... nxt time starabiq bro!!!Sinimekwambia nilikuwa shamba
Heri yako wewe mwenye akili na dini zako za kurithi kwa wazazi wakoHuna akili
Hujawahi kuwa na akili wewe. Muislam fake kuliko waislam woote ila mwenye kutaka kufanya 9 iwe 6. Pambana na imani yako acha wengine wapambane na imani zao. Sikuwahi kuona muislam au mkristu aliyekufa na kurudi kuja kuwapasha habari kuwa hii ndo dini aitakayo mungu. Na sikuwahi kuona mungu akiadhibu msikiti au kanisa kuwa kwa nini uko kinyume na dini yangu teule.Kama unavyomshangaa kaka yako kuabudu anavyoabudu, mimi nakushngaa wewe kuabudu binaadam mwenzio.
Yesu, alayhi salaam, ni Muislam.
Ivi watu JF mkoje siku hizi au ndouhaba wa ajira na maisha kuwa magumu akili zinakengeukaAcha ujinga. Kila mtu ana uhuru wa kuabudu. Usikute wewe hapo unayehisi upo sahihi ndo umeoshwa akili na kaka yako anajitambua kuliko wewe.
Hii sio topic yetu unang'ang'ania vitu minor sana mkuuKwa hiyo shamba ndo mnakunya vichakani, hebu assume wenye mashamba wote wangefanya kama wewe hali ingekuwaje? Hv unajua magonjwa mfano Typhoid yanaevyoea? Simple kama ivo wewe kuacha kinyesi mvua ikanyesha uchaf wako kasombwa na maji maji hayo yakatumiwa na watu..... nxt time starabiq bro!!!
Tuletee Maneno aliyokuwa anayasema Huwezi Mjaji mtu anaabudu mizimu tu bila kusikia ayasemayo au alitokewa na NiniKUMBE HUELEWEKI
Soma vitabu vya diniHujawahi kuwa na akili wewe. Muislam fake kuliko waislam woote ila mwenye kutaka kufanya 9 iwe 6. Pambana na imani yako acha wengine wapambane na imani zao. Sikuwahi kuona muislam au mkristu aliyekufa na kurudi kuja kuwapasha habari kuwa hii ndo dini aitakayo mungu. Na sikuwahi kuona mungu akiadhibu msikiti au kanisa kuwa kwa nini uko kinyume na dini yangu teule.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Umekataa kwa makusudi kuwa mkweli japo unaujua, any way mimi nitakwambia alichkuwa anaabudu,hio ibada uliomuona anainama anainuka ,hio ni swala ya dini ya kiislamu, kaka amesilimu ametoka kwenye ukristo ameingia uislamu, ndo dini pekee yenye zoezi la kuinama na kuinuka. #TAKBEER#
Wewe unaabudu Mungu aliyekaa kwenye Kiti cha Enzi ila hicho kiti hujawahi kukiona,umesoma maandishi tu kwamba amekaa kwenye KitiAkili huna
Hujasoma biblia ukaielewa ndomana unajiropokea tu, Soma biblia maana ndochanzo cha maalifa vitu vyote unavyoona duniani vinagunduliwa simu, intanet, ndege, satellite vyote vimeandikwa na maarifa yote wanachukua kwenye vitabu vya diniWewe unaabudu Mungu aliyekaa kwenye Kiti cha Enzi ila hicho kiti hujawahi kukiona,umesoma maandishi tu kwamba amekaa kwenye Kiti
Wewe na Kaka Yako mnatofauti gani?
Nyie wote mnaabudu Vitu msivyovijua