Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Duh haya naona umempa za shingo.
 
Doctor hawa wanaokusema hawajui tu, nawe ni binadamu eti....
Miaka hiyo enzi hizo, hospital flani nilifanyiwa operation ndogo na doctor mmoja, siku ya kwanza tu kumuona pale hospital akiwa na koti jeupe na stethescope nilihisi kulegea magoti mapenzi yana nguvu, yani nipo kwenye kitanda cha operation akili ipo kwingine teh.....hadithi ikaishia hapo huyo doctor kwa sasa ndo mme wangu tuna mtoto mmoja
 
Hii Dunia ina mambo kabisa,

Kuna binti amekuwa akinikataa kwa muda mrefu sana amekuwa akinikataa kwamba sifit vigezo vya kumuoa. Nilimpenda sana hadi basi but ikashindikana hadi ikanibidi nioe mke mwingine.

Baada ya miaka kadhaa jana nikapangiwa kumfanyia operation mwanamke baasi paap namkuta ni yuleyule aliyeninyanyasa.

Basi baada ya nurse kumaliza kumuandaa nikafika kumuona huyo mgonjwa iliniuma sana kwani pamoja ya kwamba nilimpenda lakini sikutaka kumchezea au kumvunjia heshima. Nikamuuliza kama anaamani kufanyiwa operation nami akanijibu nakuamini endelea tu.

Mungu amjaalie afya njema.

============================
Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa maana ya maadili. Maadili katika kazi zetu ni pamoja na kuhakikisha taarifa za mgonjwa na ugonjwa wake unabaki kuwa siri ya daktari husika mpaka pale mgonjwa atakapo ruhusu vinginevyo. Kusema huyu mgonjwa ni ndugu yangu au mke wangu sio katika kukosa maadili. kusema kwamba nilipoingia kumhudumia nilijihisi uncomfortable sio kukosa maadili.

lamwisho, msidhani kwamba madaktari wote tunasahau habari zote za mgonjwa mara baada ya kumhudumia. sio kweli, wapo wadaktari ambao huendelea kuwa na contact na wagonjwa na wengine huendelea kuwa na mahusiano baada ya kuwahudumia vizuri. wapo wagonjwa wakishahudumiwa vizuri hulazimisha kila akija hospitali ahudumiwe na the same doctor. Na wakati wmingine wapo wagonjwa ambao huwasumbua madaktari ambao waliwahudumia vizuri . so kama una mke wako anakuambia kila siku anaenda kwa dr.flani kuwa makini fuatilia.

======
kwa wale ambao mnaweza kusoma naomba msome kitabu cha Ben Carson "Gifted hands " ndani yake kuna simulizi nyingi sana ambazo zinahusu jinsi alivyohudumia wagonjwa wake.... sijuwi kama mnaweza kusema hajui ethical codes...
Dr hapo umechemka, operation inahusiana nini na mambo yenu ya mapenz!
 
Nilikuwa najisikia vibaya kumuona maeneo yake mtu ambaye akiwa mzima hakutaka niyaone. Hili ni sawa ukitakiwa umfanyie operation mama au dada yako. sio kazi rahisi mjue nasi ni binadamu.
una maana gani kusema na nyie ni binadamu?
 
Nadhani hujamwelewa.
Anasema, alitaka kumuoa, hakutaka kumchezea. Swali lafaa liwe kumbe wanaume wengine huchezeapo tu mabinti bila kuwaoa?
na wewe nadhani hujamwelewa, anasema alitaka kumuoa ila akaambiwa hakidhi vigezo vya kumuoa. swali lafaa liwe; kumbe
 
Doctor hawa wanaokusema hawajui tu, nawe ni binadamu eti....
Miaka hiyo enzi hizo, hospital flani nilifanyiwa operation ndogo na doctor mmoja, siku ya kwanza tu kumuona pale hospital akiwa na koti jeupe na stethescope nilihisi kulegea magoti mapenzi yana nguvu, yani nipo kwenye kitanda cha operation akili ipo kwingine teh.....hadithi ikaishia hapo huyo doctor kwa sasa ndo mme wangu tuna mtoto mmoja
[emoji23] [emoji23] umetisha
 
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hisia zinapokutana na kazi, changamoto. Hongera daktari kwa kuzuia chuki na kufanya ipasavyo. Najua kwa nyakati uliwahi waza siku ukikutana nae tena utafanyaje.
 
Ñnavyojua mimi dr huwa hasem sir ya mgonjwa ilitakiwa ibak kuwa sir yako kama ulimpenda au hukumpenda hyo ilikua sir yako
Samahani mkuu, naomba nisaidie, hapo ametoa siri gani? Maana mpaka muda huu, nimesoma michango ya wengi, ila bado sijajua hiyo siri ! Ila naona jamaa ameongelea suala lake binafsi. Msaada tafadhali.
 
Samahani mkuu, naomba nisaidie, hapo ametoa siri gani? Maana mpaka muda huu, nimesoma michango ya wengi, ila bado sijajua hiyo siri ! Ila naona jamaa ameongelea suala lake binafsi. Msaada tafadhali.

Kuileta humu jf haikua na maana kuileta halaf mwisho wa cku akaja na jina endelea tu fulan mfano huyo mgonjwa nae yupo humu na amesoma huu uzi huon kama atajickia vby siri yake imetoka au tufanye yy na mumewe wote wapo humu halaf mumewe anajua dr fulan ndo alimfanyia mkewe hyo OP huon hapo itakua maswal na majibu....
Samahani mkuu, naomba nisaidie, hapo ametoa siri gani? Maana mpaka muda huu, nimesoma michango ya wengi, ila bado sijajua hiyo siri ! Ila naona jamaa ameongelea suala lake binafsi. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom