Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Unataka wanawake wote wakukubalie? operation hiyo hujafanya kwa hisani mbali unalipwa mshahara, fanyakazi na usiwaze wanawake kama UVCCM.
duh hawa mapoyoyo wa kariakoo kumbe huwa wanawaza wanawake!?
 
Ni kweli professional ethics(and code of conducts) za kazi ya udaktari zinamtaka dkt kureserve yote yamuhusuyo mgonjwa pindi anapoattend matibabu lakini nadhani si ati kwamba asiongee kuwa ni yeye amemfanyia treatment mgonjwa flani.

Hapa problem yawezakuwa ni context(muktadha) ambayo itamhukumu huyu jamaa. Context kwa maana ya intention yake ya kuzungumzia hii scenario. Kwanza ameanza kuelezea kuwa huko nyuma alimtaka mgonjwa kimapenzi, mgonjwa akamkataa(hapa tayari kuna hostility flani ilitokea) baadae mgonjwa akaenda hospital kufanyiwa OP na baadae yule aliyempiga chini kumbe ndo alikuwa wakumfanyia OPERATION! Sasa hapa awali ni je, ulikuwa na maana ipi kuhusisha haya matukio mawili.? Je ulitaka kusema kwamba alikukataa na sasa akafika kwenye angle ambayo alihitaji msaada wako?
Hapa inaonekana lengo lako lilikua kumcriticize huyo dada kwa kukupiga chini kitu ambacho sio vizuri maana umetumia profession yako na autonomy yako vibaya.

Lazima kulikua na mazingira ya Uadui kati yenu baada ya kukupiga chini. Hata kama unasema ulimuuliza kama alikua tayari kufanyiwa Oparasion na wewe na akakubali huenda alikubali tu kutokana na kwamba alikuwa hujui kama anayo right ya kikukataa ili afanyiwe na dktari mwingine. Hata Kama Dokta mkuu wa kitengo cha upasuaji angejua hio scenario asingeruhusu wewe ukamfanyia hiyo OPERATION
 
Mkuu wewe ni daktari kweli? Unaifahamu The Hippocratic Oath?
 
Unajua kua daktari inabidi uwe unareview materials kiaina sio kubweteka tu, mfano Oxford American Handbook of Clinical examination and practical skills, page ya 3 nanukuu paragraph "This rule also applies to friends outside of medicine. As care provid￾ers, we come across many amazing, bizarre, amusing, or uplifting stories on a day-to-day basis, but like any other kind of information, these
should not be shared with anyone. " Sasa usikubari kuteleza tena siku nyingine mkuu!
 
Unajua kua daktari inabidi uwe unareview materials kiaina sio kubweteka tu, mfano Oxford American Handbook of Clinical examination and practical skills, page ya 3 nanukuu paragraph "This rule also applies to friends outside of medicine. As care provid￾ers, we come across many amazing, bizarre, amusing, or uplifting stories on a day-to-day basis, but like any other kind of information, these
should not be shared with anyone. " Sasa usikubari kuteleza tena siku nyingine mkuu!
==== Nenda kasome Gifted hands ya successful neurosurgeon Ben Carson alafu ulinganishe na nilichoandika mimi. Why ameruhusiwa kupublish kitabu chake?.... Mimi nimekuwa kwenye industry muda mrefu pia nimefanya research nyingi. Ethical codes zinakataza kutoa siri za mgonjwa au siri au identity za subjects wako. But ukisema kwamba kati ya wagonjwa mia moja waliofika muhimbili 50 ni positive katika ugonjwa flani sio kosa. tatizo lenu mnasoma bila kuelimika mwishowe mnadhani kila kitu kosa.
 
hata hivyo daktari umekose, hakukua na sababu ya kuandika thiread hii japo wewe una sababu.
binasfi sijapendezwa na hili kwani sikujifunza kitu ila umenipa tafakari umizi ndani ya moyo wangu kwani mke wangu amefanyiwa upasuaji juzi tuu.

hata hivyo niwapeni pole na pongezi kwa kazi yenu Mungu awajalieni kila linalo wastahilia
 
===mawazo mabaya hayo. kwanza tukiwa pale tunakuwa kama team sasa huo muda mtu atapata wapi?
Ulisemalo lina ukweli.
Siku hizi baadhi ya ma Dr,huchukua contacts za maadhi ya wagonjwa na kuanza kuwasumbua,(kuwatongoza),.
This is lack of ethics,. Ndio man's wengi wameathirika.
Wanataka kila mgonjwa asipite bure.

Wanatumia Shida za wagonjwa kujipatia wake za watu.Hii haikubaliki kabisa.Lazima sheria ichukue hatam,ikitokea
 
mandokwa wewe daktari wa daraja gani, nini lengo la thread hii. We ni A.M.O? Huna maadili,nadhani ndo maana huyo dada alikupiga chini. Nitawasilisha hili kwa viongozi wa MCT,Dr Kahonga na Matuzya.
Cku hizi madaktari wa namna hii n wengi sana,wanawatafuna sana wake zetu.
 
Numesoma vitabu kadhaa vya Ben Carson kjambo moja nililojifunza no kuwa alikuwa anachukua muda kuwafahamu vyema wagonjwa wake na wazazi wao kabla hajawafanyia upasuaji. Wewe inaonekana uunakutana na wagonjwa theater na kuwapasua utadhani ni mchinja ng'ombe
 
Kwa hiyo we unafikiri Ben Carson aliandika kitabu bila ruhusa kutoka kwa wagonjwa au familia husika, we unafikiri labda ye alijipinda na kuandika kitabu bila ethical clearance yoyote eti eeeh, asee una safari ndefu sana ya kujua vitu bingwa.
 
Back
Top Bottom