Hii Dunia ina mambo kabisa,
Kuna binti amekuwa akinikataa kwa muda mrefu sana amekuwa akinikataa kwamba sifit vigezo vya kumuoa. Nilimpenda sana hadi basi but ikashindikana hadi ikanibidi nioe mke mwingine.
Baada ya miaka kadhaa jana nikapangiwa kumfanyia operation mwanamke baasi paap namkuta ni yuleyule aliyeninyanyasa.
Basi baada ya nurse kumaliza kumuandaa nikafika kumuona huyo mgonjwa iliniuma sana kwani pamoja ya kwamba nilimpenda lakini sikutaka kumchezea au kumvunjia heshima. Nikamuuliza kama anaamani kufanyiwa operation nami akanijibu nakuamini endelea tu.
Mungu amjaalie afya njema.
============================
Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa maana ya maadili. Maadili katika kazi zetu ni pamoja na kuhakikisha taarifa za mgonjwa na ugonjwa wake unabaki kuwa siri ya daktari husika mpaka pale mgonjwa atakapo ruhusu vinginevyo. Kusema huyu mgonjwa ni ndugu yangu au mke wangu sio katika kukosa maadili. kusema kwamba nilipoingia kumhudumia nilijihisi uncomfortable sio kukosa maadili.
lamwisho, msidhani kwamba madaktari wote tunasahau habari zote za mgonjwa mara baada ya kumhudumia. sio kweli, wapo wadaktari ambao huendelea kuwa na contact na wagonjwa na wengine huendelea kuwa na mahusiano baada ya kuwahudumia vizuri. wapo wagonjwa wakishahudumiwa vizuri hulazimisha kila akija hospitali ahudumiwe na the same doctor. Na wakati wmingine wapo wagonjwa ambao huwasumbua madaktari ambao waliwahudumia vizuri . so kama una mke wako anakuambia kila siku anaenda kwa dr.flani kuwa makini fuatilia.
======
kwa wale ambao mnaweza kusoma naomba msome kitabu cha Ben Carson "Gifted hands " ndani yake kuna simulizi nyingi sana ambazo zinahusu jinsi alivyohudumia wagonjwa wake.... sijuwi kama mnaweza kusema hajui ethical codes...