Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Hawa watoto wa 80s na 90s hawana maadili ya kazi kabisa
Kuna mmoja kila siku akiwa bar anajigamba kwa kutaja wagonjwa wake mbaya zaidi anasema hadi wanachoumwa na wengine wanaishi kitaa hichohicho
Nakumbuka miaka ile kuna Dr. alipigwa risasi huko Mbeya akiwa nyumbani kwake, chanzo ni kwamba alimtangaza huyo muuaji kuwa ana UKIMWI
 
I doubt kama ni real doctor!! Real doctor huwa hazungumzii mambo ya mgonjwa kwenye hadhara. Kama huyo dada ni member JF si atamtambua kuwa ni daktari gani (kama ni kweli) na amshitaki Medical Council of Tanganyika akitoa na huu ushahidi wa JF!!! Take care...
====
tumia ubongo wako vizuri. sasa atashitaki kwa kosa lipi? akiulizwa ni siri zipi zimetolewa atasema ipi?
 
Ivi kweli Dr aliefundwa professional ethics anaweza kuja huku kuandika yaliyojiri kwenye sehemu yake ya kazi? Hujui huyo mgonjwa anaweza pia kuwa member huku? akikushtaki je unaweza kujitetea kweli? Tunajua mnakutana na mengi, ila ni bora kuyaacha huko huko..
 
====
tumia ubongo wako vizuri. sasa atashitaki kwa kosa lipi? akiulizwa ni siri zipi zimetolewa atasema ipi?

Mkuu achana nao hao, wengi wanajifanya wataalam kumbe wachambia gunzi!! Ukiwaambia ni siri ipi imetoka, wanabaki kung'aa sharubu..
 
We dokta wa wap? Madaktari hatupo ivyo bhana
 
Labda ungekoroga maandishi tungeamini kwamba dokta [emoji42] [emoji42]
 
Dr unaonekana ulimbaka kabisa huyo mgonjwa;
ila ujue kuwa MUNGU ANAKUONA!
 
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Muulize maswali ya kidr tafadhali la sivyo muongo ni wewe.
 
====
tumia ubongo wako vizuri. sasa atashitaki kwa kosa lipi? akiulizwa ni siri zipi zimetolewa atasema ipi?


I know what I am saying, nimekuwa kwenye hosp kubwa hapa mjini for more tha 6 years na nimefanya kazi na hao MCT kwa muda mrefu, najua huo uchunguzi. Unatakiwa uwe na ethics.....
Age hii ni ya hightech, wewe kujulikana it is just a matter of time.... Watch out
 
Daaah aiseeh daktar... Naona povu limekutoka kabisa
 
====
Umekosa point.... sikupenda kumchezea kipindi namtongoza lengo langu lilikuwa kumuoa
Ñnavyojua mimi dr huwa hasem sir ya mgonjwa ilitakiwa ibak kuwa sir yako kama ulimpenda au hukumpenda hyo ilikua sir yako
 
Nasubiri "mrejesho" wa "hatimaye nimemla yule mwanamke".
 
Hii Dunia ina mambo kabisa,

Kuna binti amekuwa akinikataa kwa muda mrefu sana amekuwa akinikataa kwamba sifit vigezo vya kumuoa. Nilimpenda sana hadi basi but ikashindikana hadi ikanibidi nioe mke mwingine.

Baada ya miaka kadhaa jana nikapangiwa kumfanyia operation mwanamke baasi paap namkuta ni yuleyule aliyeninyanyasa.

Basi baada ya nurse kumaliza kumuandaa nikafika kumuona huyo mgonjwa iliniuma sana kwani pamoja ya kwamba nilimpenda lakini sikutaka kumchezea au kumvunjia heshima. Nikamuuliza kama anaamani kufanyiwa operation nami akanijibu nakuamini endelea tu.

Mungu amjaalie afya njema.

============================
Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa maana ya maadili. Maadili katika kazi zetu ni pamoja na kuhakikisha taarifa za mgonjwa na ugonjwa wake unabaki kuwa siri ya daktari husika mpaka pale mgonjwa atakapo ruhusu vinginevyo. Kusema huyu mgonjwa ni ndugu yangu au mke wangu sio katika kukosa maadili. kusema kwamba nilipoingia kumhudumia nilijihisi uncomfortable sio kukosa maadili.

lamwisho, msidhani kwamba madaktari wote tunasahau habari zote za mgonjwa mara baada ya kumhudumia. sio kweli, wapo wadaktari ambao huendelea kuwa na contact na wagonjwa na wengine huendelea kuwa na mahusiano baada ya kuwahudumia vizuri. wapo wagonjwa wakishahudumiwa vizuri hulazimisha kila akija hospitali ahudumiwe na the same doctor. Na wakati wmingine wapo wagonjwa ambao huwasumbua madaktari ambao waliwahudumia vizuri . so kama una mke wako anakuambia kila siku anaenda kwa dr.flani kuwa makini fuatilia.

Sijawahi ona au kutana na Dr Mpuuzi kama wewe,kumbuka huyo mgonjwa kama ni kweli umemuhudumia na akawa yumo humu jukwaani akikuchukulia sharia za kwenda kukushitaki kwenye chama cha madakitari kazi unayo.... Acha ujinga dogo
 
Back
Top Bottom