- Thread starter
- #81
===The policy is designed to help physicians understand their legal and professional obligations to maintain patient confidentiality.
Huyo dada kama yumo humu akiamua kulala mbele nawe umeenda na maji.
Jenga kesi yako hapa ni ipi? sio unaongea nadharia. Onyesha kipi kimeconstitute kwenye wrong act? confidentiality ni katika level ipi? ningesema mgonjwa fulani alikuwa anaumwa hiki na kile nikamfanya hiki na kile hapo nimevunja confidentiality. Kusema kwamba niliomba concent yake kama nimhudumie hiyo ipo kwenye ethic code soma item 4.2.
hapo sema kosa lipi? kusema kwamba I operated nilitaka kumuoa? shame on you hutumii akili yako kujudge