Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Bila shaka hukuiva vizuri kwenye hiyo fani. Kiapo cha utii wa kutunza siri umesahau au hukuapa!
 
Sema hakuna Dr ninayemfahamu asiye na siri!Kuna visharobaro vimekua ma Dr vinaongea upuuzi wakiwa bar hadi unashangaa,kila fani imevamiwa

Hawa watoto wa 80s na 90s hawana maadili ya kazi kabisa
Kuna mmoja kila siku akiwa bar anajigamba kwa kutaja wagonjwa wake mbaya zaidi anasema hadi wanachoumwa na wengine wanaishi kitaa hichohicho
 
Hawa watoto wa 80s na 90s hawana maadili ya kazi kabisa
Kuna mmoja kila siku akiwa bar anajigamba kwa kutaja wagonjwa wake mbaya zaidi anasema hadi wanachoumwa na wengine wanaishi kitaa hichohicho
Ndio maana nashangaa anavyobisha hakuna Dr wa hivyo!kuna wajinga wengi tu hadi wasomi
 
Rudi shule kama wewe ni daktari, ukajifunze maadili (ethics) ya kazi! Hii fani imevamiwa, kuna haja kuleta mitaihani ya bodi za kitaifa kwa kila level kwenye fani ya tiba.
 
====
Nadhani tunaposema siri ya mgonjwa huijui. hapa sijatoa siri yoyote. Je wewe unamjua mgonjwa au unanijua mimi?

Siri ni pamoja na primary intention ya kupost huo upupu, nia yako ni nini na assume huyo mgonjwa wako yupo humu hawezi kukutambua? Don't be stupid.
 
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu


I doubt kama ni real doctor!! Real doctor huwa hazungumzii mambo ya mgonjwa kwenye hadhara. Kama huyo dada ni member JF si atamtambua kuwa ni daktari gani (kama ni kweli) na amshitaki Medical Council of Tanganyika akitoa na huu ushahidi wa JF!!! Take care...
 
Mimi nimekuelewa.
Usijali - za humu.
Maana + na -
Zinaendana
 
Back
Top Bottom