Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

SAWA DOCTOR.. KWA KUWA ALIKUWA COMFORTABLE HAMNA SHDA. HATA WEWE UNAWEZA KUFANYIWA UPASUAJI NA MUMEWE
 
Hakuna kosa mtoa mada amefanya kwa mtazamo wangu !
Waacheni wazungumze machache juu ya kazi yao inainspire wengine !
 
Kama huna na hujui maana ya professional behaviour basi wewe huna tofauti na vibaka,kuna siku nilienda kutibu magonjwa ya zinaa kwenye hospital fulani hivi jina kapuni wale madaktari walikuwa ni vijana kama wewe wakawa wananicheka na kunidhihaki waziwazi,nilihisi nipo ndotoni but unfortunately it was real!!......nilishangaa sana hadi nikajikuta nacheka mwenyewe!!.....Afrika hatujielewi walahi!!!
xx ww na huyo mnatofaut gn? yy katumia 'codes' kufikisha mawazo yake pia na ww umefanya the same 'uliend kutib magonjwa ya zinaa' ;hujataja wapi na nan ulienda kuwatibu.
ni kama yeye tu.
wagonjwa wapo wengi wanaofanyiwa 'opreshen' kila siku tanzania za aina mbal mbal.
 
Huwezi kufanya huo ujinga hata mara moja, upasuaji unafanywa na team ya watu tofauti wa jinsia tofauti so kua na amani ndugu usisikilize maneno ya mtaani.
Haya niyasemayo yanaanzia kwenye consultation mara nyingi na si siku ya upasuaji, pia sijasikiliza mtaani bali ni confession za wahusika.
 
xx ww na huyo mnatofaut gn? yy katumia 'codes' kufikisha mawazo yake pia na ww umefanya the same 'uliend kutib magonjwa ya zinaa' ;hujataja wapi na nan ulienda kuwatibu.
ni kama yeye tu.
wagonjwa wapo wengi wanaofanyiwa 'opreshen' kila siku tanzania za aina mbal mbal.
nilienda kutibiwa,siyo kutibu!!
 
Nilikuwa najisikia vibaya kumuona maeneo yake mtu ambaye akiwa mzima hakutaka niyaone. Hili ni sawa ukitakiwa umfanyie operation mama au dada yako. sio kazi rahisi mjue nasi ni binadamu.
Nishajua ww sio daktari kwan madktari huwa hawaruhusiwi kuwahudumia ndugu zao wa karibu hasa wa damu (si kwenye magonjwa ya kawaida bali kama kuzalisha,na upasuaji mkubwa) kwa kuwa kuna vitu vingi vinaweza kutokea mfano mama yako mzazi au dada yako ameletwa ana mimba na ww ndiyo M.D uliyekuwepo hapo ivi unadhani unaweza kucheki tupu za ndugu yako hasa wa kike au mama yako mzazi hapo itakupa some psychological effects either ukashindwa kumtibu kabisa au ukamuuuwa kwa uzembe kwa kuwa hautam treat ipasavyo ndiyo maana huwa wanabadilishana na MD'S wengine NIMECHUKULIA RELATIONSHIP YAKO NA HUYO DADA MWANZO NA NIMECHUKUA MANENO YAKO YA MWISHO YAANI HAPA "hili ni sawa na ukitakiwa umfanyie operation mama au dada yako" CONCLUTION WACHA KUCHAFUA FIELDS ZA WATU MKUU .uwe na siku njema
 
======
sio kweli kwamba mtu hawezi kumhudumia ndugu yake. pia huyu hakuwa ndugu yangu na anayepanga kesi za operation hana ujuzi wa background history ya kila doctor. Tumia akili wacha mihemko.
 
Hongera sana mkuu kwa moyo wako wa kujitolea na kuokoa maisha. Mungu awabariki madaktari wote
 
====
tumia ubongo wako vizuri. sasa atashitaki kwa kosa lipi? akiulizwa ni siri zipi zimetolewa atasema ipi?
Watu wanajua siri siri siri, hawaelewi maana ya siri na kwanini siri inakua ni siri. Wanafikiri kutozungumza chochote ndio kutunza siri. Piga kaz Dr usirudishwe nyuma. Endelea kuwapiga mikasi huko na kama kuna kisa chochote cha maana tuletee hapa tunapate mafundisho
 
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Numbisa ilo jipu bora ulivyolichana live
 
mandokwa wewe daktari wa daraja gani, nini lengo la thread hii. We ni A.M.O? Huna maadili,nadhani ndo maana huyo dada alikupiga chini. Nitawasilisha hili kwa viongozi wa MCT,Dr Kahonga na Matuzya.
 
Yaani umeandika as if huyo dada hakupaswa kukukataa
 
Nimefurahishwa na swali lako ati unaamini kufanyiwa operation na mimi*Swali dogo lakini nilakihisia zaidi.
 
Hii Dunia ina mambo kabisa,

Kuna binti amekuwa akinikataa kwa muda mrefu sana amekuwa akinikataa kwamba sifit vigezo vya kumuoa. Nilimpenda sana hadi basi but ikashindikana hadi ikanibidi nioe mke mwingine.

Baada ya miaka kadhaa jana nikapangiwa kumfanyia operation mwanamke baasi paap namkuta ni yuleyule aliyeninyanyasa.

Basi baada ya nurse kumaliza kumuandaa nikafika kumuona huyo mgonjwa iliniuma sana kwani pamoja ya kwamba nilimpenda lakini sikutaka kumchezea au kumvunjia heshima. Nikamuuliza kama anaamani kufanyiwa operation nami akanijibu nakuamini endelea tu.

Mungu amjaalie afya njema.

============================
Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa maana ya maadili. Maadili katika kazi zetu ni pamoja na kuhakikisha taarifa za mgonjwa na ugonjwa wake unabaki kuwa siri ya daktari husika mpaka pale mgonjwa atakapo ruhusu vinginevyo. Kusema huyu mgonjwa ni ndugu yangu au mke wangu sio katika kukosa maadili. kusema kwamba nilipoingia kumhudumia nilijihisi uncomfortable sio kukosa maadili.

lamwisho, msidhani kwamba madaktari wote tunasahau habari zote za mgonjwa mara baada ya kumhudumia. sio kweli, wapo wadaktari ambao huendelea kuwa na contact na wagonjwa na wengine huendelea kuwa na mahusiano baada ya kuwahudumia vizuri. wapo wagonjwa wakishahudumiwa vizuri hulazimisha kila akija hospitali ahudumiwe na the same doctor. Na wakati wmingine wapo wagonjwa ambao huwasumbua madaktari ambao waliwahudumia vizuri . so kama una mke wako anakuambia kila siku anaenda kwa dr.flani kuwa makini fuatilia.

======
kwa wale ambao mnaweza kusoma naomba msome kitabu cha Ben Carson "Gifted hands " ndani yake kuna simulizi nyingi sana ambazo zinahusu jinsi alivyohudumia wagonjwa wake.... sijuwi kama mnaweza kusema hajui ethical codes...

Kwa hili umekosa sifa za kuwa Daktari. Unawezaje kufanya hili. Nikiwa kama Daktari nalaani kitendo hiki.
 
Back
Top Bottom