Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Nimemfanyia upasuaji mwanamke aliyenikataa

Inaonekana wanawake mkienda kutibiwa mnakutana na mitongozo ya kufa mtu kama ww hadi imekuathiri duu.. Maana sioni katoa siri gani ila wengi mmechangia kwa mihemko bila kuelewa bandiko lake..
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
 
Kama huna na hujui maana ya professional behaviour basi wewe huna tofauti na vibaka,kuna siku nilienda kutibiwa magonjwa ya zinaa kwenye hospital fulani hivi jina kapuni wale madaktari walikuwa ni vijana kama wewe wakawa wananicheka na kunidhihaki waziwazi,nilihisi nipo ndotoni but unfortunately it was real!!......nilishangaa sana hadi nikajikuta nacheka mwenyewe!!.....Afrika hatujielewi walahi!!!
 
Dr unaonekana ulimbaka kabisa huyo mgonjwa;
ila ujue kuwa MUNGU ANAKUONA!
====
tulia usome kwakutumia ubongo.... nani kabakwa hapo? pia hivi ukisikia upasuaji unawaza kitu kimoja tu?
 
Tatizo la watanzania ni ujuaji mwingi sana mnamtuhumu mtoa mada katoa siri za mgonjwa
mkiulizwa ni siri gani katoa mnabaki kutoa povu
pumbavu kabisa mtu kawasilisha hisia zake
mnafikiri ukiwa dokta ndiyo unakuwa mkamilifu au hauna haki ya kufanya mambo mengine
 
I know what I am saying, nimekuwa kwenye hosp kubwa hapa mjini for more tha 6 years na nimefanya kazi na hao MCT kwa muda mrefu, najua huo uchunguzi. Unatakiwa uwe na ethics.....
Age hii ni ya hightech, wewe kujulikana it is just a matter of time.... Watch out
==== maneno mengi sana. sema kosa hapo liko wapi? ni siri ipi imetoka hapo?
 
Kakosea wapi mbona nasoma ila naona kawasilisha tu mawazo ya hisia zake kama mtu mwingine yoyote. Na hajatoa siri za mgonjwa
====
watu wanamihemko sana. hawatumii akili kusoma between lines
 
Kama huna na hujui maana ya professional behaviour basi wewe huna tofauti na vibaka,kuna siku nilienda kutibu magonjwa ya zinaa kwenye hospital fulani hivi jina kapuni wale madaktari walikuwa ni vijana kama wewe wakawa wananicheka na kunidhihaki waziwazi,nilihisi nipo ndotoni but unfortunately it was real!!......nilishangaa sana hadi nikajikuta nacheka mwenyewe!!.....Afrika hatujielewi walahi!!!
=== nilitarajia utasema kosa la maadili hapo ni lipi? kusema alikuwa nataka nimuoe au lipi?
 
Kwa profession ethics za udaktari hukutakiwa kuanzisha uzi huu. Kama umezisahau kazisome tena ili usivunje tena maadili ya kuwa daktari.

Hii Dunia ina mambo kabisa,

Kuna binti amekuwa akinikataa kwa muda mrefu sana amekuwa akinikataa kwamba sifit vigezo vya kumuoa. Nilimpenda sana hadi basi but ikashindikana hadi ikanibidi nioe mke mwingine.

Baada ya miaka kadhaa jana nikapangiwa kumfanyia operation mwanamke baasi paap namkuta ni yuleyule aliyeninyanyasa.

Basi baada ya nurse kumaliza kumuandaa nikafika kumuona huyo mgonjwa iliniuma sana kwani pamoja ya kwamba nilimpenda lakini sikutaka kumchezea au kumvunjia heshima. Nikamuuliza kama anaamani kufanyiwa operation nami akanijibu nakuamini endelea tu.

Mungu amjaalie afya njema.

============================
Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa maana ya maadili. Maadili katika kazi zetu ni pamoja na kuhakikisha taarifa za mgonjwa na ugonjwa wake unabaki kuwa siri ya daktari husika mpaka pale mgonjwa atakapo ruhusu vinginevyo. Kusema huyu mgonjwa ni ndugu yangu au mke wangu sio katika kukosa maadili. kusema kwamba nilipoingia kumhudumia nilijihisi uncomfortable sio kukosa maadili.

lamwisho, msidhani kwamba madaktari wote tunasahau habari zote za mgonjwa mara baada ya kumhudumia. sio kweli, wapo wadaktari ambao huendelea kuwa na contact na wagonjwa na wengine huendelea kuwa na mahusiano baada ya kuwahudumia vizuri. wapo wagonjwa wakishahudumiwa vizuri hulazimisha kila akija hospitali ahudumiwe na the same doctor. Na wakati wmingine wapo wagonjwa ambao huwasumbua madaktari ambao waliwahudumia vizuri . so kama una mke wako anakuambia kila siku anaenda kwa dr.flani kuwa makini fuatilia.
 
Acha uongo wewe,kama unadhan kutumia jina la dokta humu JF ndo utampata wanawake umejidanganya.

Hakuna dokta asiye na siri kama wewe. Hujui miiko ya kidokta. Usichafue fani za watu
Sasa hapo katoa siri gani???
 
Tatizo la watanzania ni ujuaji mwingi sana mnamtuhumu mtoa mada katoa siri za mgonjwa
mkiulizwa ni siri gani katoa mnabaki kutoa povu
pumbavu kabisa mtu kawasilisha hisia zake
mnafikiri ukiwa dokta ndiyo unakuwa mkamilifu au hauna haki ya kufanya mambo mengine
Umemaliza kila kitu sasa kuwa Dr ni kosa kuwa na hisia wengi wanafiki humu
 
Kwa profession ethics za udaktari hukutakiwa kuanzisha uzi huu. Kama umezisahau kazisome tena ili usivunje tena maadili ya kuwa daktari.
====
hakuna ethic code inayokataza kusema nimemhudumia mgonjwa flani. Hata nikasema siku flani nilimhudumia mke wangu au aliyekuwa mchumba wangu.... kinachokatazwa ni kusema details za ugonjwa wake na mengineyo.... Mbona mnawasema wote waliomhudumia lisu? what if akaja daktari wa lisu akasema alijisikia huruma wakati anamhudumia lisu itakuwa kosa? no.... msikariri sheria na procedure angalieni semantics zake.
 
Mkuu kwa utashi wangu mdogo nimenote wewe sio doctor wala nini but umeleta mada kusudi upate tensions za watu..okay tunashukuru kwa ushauri wako.
 
====
tulia usome kwakutumia ubongo.... nani kabakwa hapo? pia hivi ukisikia upasuaji unawaza kitu kimoja tu?
Wengi hawajawahi kuingia theatre ndo povu linawatoka mi shawahi kufanyiwa operation kule kuna ma Dr na ma nurse wengi hence kubakwa ni ngumu mno aisee
 
Chochote kile unachokiongea hadharani kuhusu mgonjwa wako bila ya ruhusa ya mhusika ni kinyume na maadili ya udaktari. Sidhani kama huyo mrembo alikupa ruhusa ya kuja kumuandika hadharani.

====
hakuna ethic code inayokataza kusema nimemhudumia mgonjwa flani. Hata nikasema siku flani nilimhudumia mke wangu au aliyekuwa mchumba wangu.... kinachokatazwa ni kusema details za ugonjwa wake na mengineyo.... Mbona mnawasema wote waliomhudumia lisu? what if akaja daktari wa lisu akasema alijisikia huruma wakati anamhudumia lisu itakuwa kosa? no.... msikariri sheria na procedure angalieni semantics zake.
 
Chochote kile unachokiongea hadharani kuhusu mgonjwa wako bila ya ruhusa ya mhusika ni kinyume na maadili ya udaktari. Sidhani kama huyo mrembo alikupa ruhusa ya kuja kumuandika hadharani.
==== kasome gifted hands ya Ben carson. Kuna maeneo ya ethics sio kila jambo. Mbona mnasema katibu wa afya kamtibu lisu je mmeomba ruhusa kwa lisu?
 
The policy is designed to help physicians understand their legal and professional obligations to maintain patient confidentiality.

Huyo dada kama yumo humu akiamua kulala mbele nawe umeenda na maji.

==== kasome gifted hands ya Ben carson. Kuna maeneo ya ethics sio kila jambo. Mbona mnasema katibu wa afya kamtibu lisu je mmeomba ruhusa kwa lisu?
 
Back
Top Bottom