Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
Tangulia Mkuu katuandalie makao. Tupo wengi nyuma yako! Nenda ukatusubirie ahera madukani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
mie pia siamini kama alizaliwa nao,najua alikuwa anajaribu kujitetea,sikutaka kuanza kukwaruzana nae kutokana na hali yake ya mshono then kama mambo yashaharibika,nilichosikitika kwanini aliruhusu tukalipe mahari na kuanza maandalizi ya ndoa?kwanini hakuniambia tangu mapema juu ya afya yake hata kama mimi pia nilifanya uzembe wa kutokupima?Kuna kitu hapa hakiko sawa. Kama kweli Huyo mkeo hakujua kama alizaliwa nao je kipindi anaanza clinic hakupima? Mana Mama anapoanza clinic lazima apime maambukizi Kama hayo
Kama alipima akajua ukweli 'na hakukwambia una uhakika gani alizaliwa nao? Kama kakuficha umekuja Kujua Leo huwez kusema alizaliwa nao Huyo alikuwa anajijua Zamani tu aliamua kukuficha Sema imefika muda meb hawez Tena kukuficha ndio kaona aseme alizaliwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari ya kutunga, madaktari walijuaje kuwa alizaliwa nao?Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
Huyo sio mke wa kuoa alitaka wote muwe na hali moja ili ushindwe kumuacha, Lakin nakushauri Kwanza kabixa usijilaumu kwa kutoenda kupima kabla kaka yangu wengi tu huwa tunafanya makosa hayo sio wewe peke yako wa kumlaumu ni Huyo muuaji asiye na huruma kushindwa kukwambia ukweli. Na kwavile ushamjua hata kama umekutwa navyo baada ya kupima sikushauri ukaishi 'na mtu mwenye u nyama kama huo, huwez jua kama kaweza kufanya hivi anaweza akakufanyia jingine lipi, ni bora ukatafuta mwingine mwenye hali kama yako mkaanzisha maisha, hiyo mahari uliyotoa sijui kama mna taratibu za kuirejesha otherwise fanya tu kama ulifanya investment ukapoteza, virus vya ukimwi sio mwisho unaweza ukawa na maisha mazuri ukazaa watoto wasio na maambukizi kabixa 'na ukaishi vizuri. Cha msingi ni KUIKUBALI HALI HIYO NA UTAISHI VIZURI HUYO MWANAMKE MUUAJI TUPA KWENYE DUSTBIN KABIXA HAKUFAImie pia siamini kama alizaliwa nao,najua alikuwa anajaribu kujitetea,sikutaka kuanza kukwaruzana nae kutokana na hali yake ya mshono then kama mambo yashaharibika,nilichosikitika kwanini aliruhusu tukalipe mahari na kuanza maandalizi ya ndoa?kwanini hakuniambia tangu mapema juu ya afya yake hata kama mimi pia nilifanya uzembe wa kutokupima?
suala la clinic nilieleza kuwa sikuwa naishi nae ila nilitaka kuishi nae baada ya kufunga nae ndoa,na ndoa ili`delay ili tusubiri ajifungue kwanza,na ndio yametokea haya,kiufupi namuona ni mnyama huyu mwanamke,clinic alikuwa akienda mwenyewe na hakuwahi kutaka niione kadi ya clinic,kila nikiiulizia anaweka vipingamizi,na alikuwa anategea nipo mbali nae ndio ananiambia siku ya clinic imefika..,wakuu mnaweza kulaumu sana ila sikuwa mzee kama navyohukumiwa na baadhi ya wachangiaji,anyway nipo tayri kwa lolote nitakalokutana nalo,sina namna.....i tried to be a good man to my family and this is how i got paid,dunia haipo fair kabisa..
Keep cool man, keep cool! Usichanganyikiwe kwa hili. Kuwa HIV positive siyo hukumu ya kifo. Kuna jamaa nawafamu wana zaidi ya miaka 18 wakiwa positive, wameoa na watoto ukiwaona hutajua. Ukiwa positive, kubali hali yako na fuata ushauri wa madaktari. Trust me, utaishi maisha mazuri tu kama mtu mwingine yeyote.mie pia siamini kama alizaliwa nao,najua alikuwa anajaribu kujitetea,sikutaka kuanza kukwaruzan...i tried to be a good man to my family and this is how i got paid,dunia haipo fair kabisa..
acha kuleta uhuni wa kizamani na kujiona mjaanja wakati ni mjinga,sawa siku yako itafika ndio utaelewa kama nimetunga au laa!Hii habari ya kutunga, madaktari walijuaje kuwa alizaliwa nao?
Pili alishindwaje kujua iwapo alizaliwa nao, wazazi watakuwa walishakufa kwa ukimwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu punguza jazba mkuu, kiuhalisia hakuna kipimo cha kuonyesha ukimwi umezaliwa au umeupata ukubwani, unaposema madaktari wamethibitisha kuwa amezaliwa nao inanipa mashaka kidogo mkuu.acha kuleta uhuni wa kizamani na kujiona mjaanja wakati ni mjinga,sawa siku yako itafika ndio utaelewa kama nimetunga au laa!
nikusamehe tu maana nadhani hauelewi nini kinaendelea...
Wachangiaji wote wako vizuri,ila wewe umechangia pumba.bora ungekaa kimya.Duuh! mkuu,huyo mpenzi wako sidhani kama alizaliwa nao halafu hakujua,mi nina uhakika kama kweli alizaliwa nao itakiaje afike umri wa kiutu uzima kabisa asiwe anatumia hata ARVs,huyo mtu ana kinga ya namna gani hadi asinyong'onyezwe..,na vilevile wakati anaenda kliniki inamaana hakuwahi kupima?
Aache ukatili ameshakuua tayari,na mbaya zaidi umenikumbusha kifo cha binamu yangu aliyekua kaathirika,amezikwa juzi tu,HIV is real.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na yote hayo isikute wewe ndie ulimletea mwenzio maradhi japo kakiri kuwa alizaliwa nao huenda kakujibu kwa sababu ya woga kumbe we ndo uliyemletea maradhi.Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.
Ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika, nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao.
Nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni, anasema na yeye alikuwa hajui, kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu, mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo, hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
Kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke, tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe.
Nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa, bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili, nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu, nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko.
Ahsanteni
sio kweli mkuu,yeye nahisi alikuwa nao hata kama hajakutana na mimi halafu kuhusu mimi naomba uelewe kuwa hadi saiv sijui kama ninao au sina,acha chuki,,kesho ndio tutayajua yote juu ya nilipitialo,usinihukumu!Pamoja na yote hayo isikute wewe ndie ulimletea mwenzio maradhi japo kakiri kuwa alizaliwa nao huenda kakujibu kwa sababu ya woga kumbe we ndo uliyemletea maradhi.
Wanawake weusi na utamu wao
Unahisi ila hauna Uhakika! Ila ni mapema sana kuhukumu kabla wewe hujaijua Afya yako kwa kuwa historia haioneshi kwamba ulishapima ukaonekana salama na yeye kuonekana kaathirika.sio kweli mkuu,yeye nahisi alikuwa nao hata kama hajakutana na mimi halafu kuhusu mimi naomba uelewe kuwa hadi saiv sijui kama ninao au sina,acha chuki,,kesho ndio tutayajua yote juu ya nilipitialo,usinihukumu!
Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.